Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Poleni sana ndugu. Siku hizi kuna yaani nyingi sana za makanisa. Kuna cultism Nazi zinajihita kanisa.
Kanisa linalo hubiri habari za Yesu, utahubiri kuhusu upendo na siyo machafuko.
Mwambie mkeo ahache kusoma hizo notice na aanze kusoma Bible ili apate maharifa sahihi ya Mungu. Yote anayo kufanyika ni kinyume kabisa na Ukristo. Ukristo unasisitiza utii kwa mume na upendo kwa mke. Shetani haogopi title yako ya kujiita mkristu bali hatakuogopa kutokana na uhusiano wako na MUNGU. Mtu wa chuki, majivuno, nyodo, kukosa upendo hawezi kuwa na mahusiano mazuri na Mungu, atakuwa na mahusiano mazuri na shetani.
Mwambie wife afungue akili asije bomoa nyumba yake mwenyewe
 
Lete mrejesho , huyo mama bado anapeleka mshahara wote Hadi leo?
 
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani kwa ujinga wa li mke lako ndo uusiliibe ukristo na ulokole? We gilesi ni zaidi ya mpumbavu faken
Ulokole umeja wahuni,matepeli na waloshindikana kana unabisha kopesha pesa mlokole ndo utapojua hujui maana badala ya kulipa yeye anaenda kwa mchungaji kuomba deni lifutike bila kulipa
 
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli hii mada imeonesha kumbe Bujibuji ni boya sana, yaani anapangiwa hata kuwasha feni! Anakoromewa hadi anaenda kulala nje ya nyumba? Analishwa kuku vibudu, hana hela yake mwenyewe ya kununua kuku hai?
Tena kawa mtoto wa jikoni eti house girl/boy wanampa siri za mkewe kupeleka makuku kwa mchungaji!
Yaani hovyo kabisa Bujibuji simba NYANAMKE.
 
Pole sana. Je wakati mnaoana alikuwa anasali kanisa hilo hilo au amebadilisha baada ya kuwa mmeoana?
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
haya yote umeyafuga mwenyewe.

watu mna ndoa,kwanini mnakosa taasisi rasmi ya kidini kwa ajiri ya kwenda kuabudia??KKKT,TAG,RC,SDA!!!

yaani mtu una mke/mume unaenda kwa mtu kama mwamposa😡😡
 
Hahahaha
Utakufa mapema muoneshe mali zako zote
 
Andika vizuri ueleweke.
Mkuu maharifa sahii ya MUNGU ni kile kilichoandikwa kwenye Bible (particularly to this case). Yaani maelekezo ya MUNGU na siyo ya kiongozi wako wa kiroho. Chochote uambiwacho/ kusikia kipime kwa neno la MUNGU.
Kwenye issue tuliyonayo mezani hayo mambo yamekosekana ni kuleta majuto. Hope utakuwa umeelewa kwa kiasi chake.
 
😁 unauhakika malimbuko kwa mchungaji ni kuku tu walio nona?Jiandae mkuu.
 
Nina mpango wa kwenda kwa mganga kumseti mke wangu ili awe chini ya mamlaka yangu naishusha nyota yake naipandisha yakwangu adi hapo ndoa itakuwa fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…