King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana ndugu. Siku hizi kuna yaani nyingi sana za makanisa. Kuna cultism Nazi zinajihita kanisa.Nakubaliana na wewe kwamba kuna ukristo ambao ni ushetani kwa uthibitisho. Mwenza wangu anakwenda kanisani kila siku kuanzia Jumamosi mpaka Ijumaa, mafunzo anayokwenda kuyapata huko anayajua yeye lakini tangu ameanza hizo mambo kazidi kuwa kama mwehu. Muda wote na notebooks anasoma hayo wanayofundishwa huko kiasi hadi inafikia stage mtoto anataka kujisaidia anadiriki kuniambia nimsaidie kumpeleka kujisaidia na nikisema nenda kampeleke basi ni ugomvi na anafika kumwambia mtoto jisaidie hapo hapo nikimaliza kazi zangu nitazoa. Heshima imeenda yani anaweza kuniambia chochote anachojiskia bila chembe ya aibu. Kwenda huko kanisani haitaji ruhusa kutoka kwangu ila anajiamulia mwenyewe. Kinachonifanya niamini ni huko kanisani, kuna mmama jirani wanasali kanisa moja, kila akirudi atakaa nae waongee yaliyotokea huko. Yani maandamano ya kanisa yeye humtoi lazima awepo kiufupi ni kero. Kama umempata mchumba wako kanisani na mnapendana basi endelea nae lakini kama upo single basi sishauri uwe na mwanamke anaejifanya anaipenda dini kupita kiasi. Utakuja kujuta baadae mana hawa ni watu wanaoongoza kutokujali mahusiano yao kwa kufatilia dini. Haoni hatari kukukosea heshima eti kwa sababu anadefend mchungaji au neno la mchungaji
Wengi wao ukosa maharifa sahii ya MunguWanawake wakilikole wana roho mbaya.
Sijasema wanawake wote wa kilokole
Lete mrejesho , huyo mama bado anapeleka mshahara wote Hadi leo?Aisee kuna jamaa yetu aliowa mjeda hawa mabaka mabaka bidada kabezi huko kanisani humwambii kitu. Mshahara karibu woote wanapeleka huko mume akimwambia anamjibu Zaka, nadhiri, malimbukuko, sadaka basi taflani ndani. Mwisho jamaa kamwacha bidada aendelee na maisha yake na yeye kala kona ndoa chali wamegawana fito hakuna kujenga nyumba moja teena. Ni mwaka wa sita sasa toka watengane.
Andika vizuri ueleweke.Wengi wao ukosa maharifa sahii ya Mungu
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli[emoji23]Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
Ulokole umeja wahuni,matepeli na waloshindikana kana unabisha kopesha pesa mlokole ndo utapojua hujui maana badala ya kulipa yeye anaenda kwa mchungaji kuomba deni lifutike bila kulipaYani kwa ujinga wa li mke lako ndo uusiliibe ukristo na ulokole? We gilesi ni zaidi ya mpumbavu faken
Ukweli hii mada imeonesha kumbe Bujibuji ni boya sana, yaani anapangiwa hata kuwasha feni! Anakoromewa hadi anaenda kulala nje ya nyumba? Analishwa kuku vibudu, hana hela yake mwenyewe ya kununua kuku hai?Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui kwa sasa maana yule mume waliachana hata habari zake hatunazo teena.Lete mrejesho , huyo mama bado anapeleka mshahara wote Hadi leo?
Pole sana. Je wakati mnaoana alikuwa anasali kanisa hilo hilo au amebadilisha baada ya kuwa mmeoana?Nakubaliana na wewe kwamba kuna ukristo ambao ni ushetani kwa uthibitisho. Mwenza wangu anakwenda kanisani kila siku kuanzia Jumamosi mpaka Ijumaa, mafunzo anayokwenda kuyapata huko anayajua yeye lakini tangu ameanza hizo mambo kazidi kuwa kama mwehu. Muda wote na notebooks anasoma hayo wanayofundishwa huko kiasi hadi inafikia stage mtoto anataka kujisaidia anadiriki kuniambia nimsaidie kumpeleka kujisaidia na nikisema nenda kampeleke basi ni ugomvi na anafika kumwambia mtoto jisaidie hapo hapo nikimaliza kazi zangu nitazoa. Heshima imeenda yani anaweza kuniambia chochote anachojiskia bila chembe ya aibu. Kwenda huko kanisani haitaji ruhusa kutoka kwangu ila anajiamulia mwenyewe. Kinachonifanya niamini ni huko kanisani, kuna mmama jirani wanasali kanisa moja, kila akirudi atakaa nae waongee yaliyotokea huko. Yani maandamano ya kanisa yeye humtoi lazima awepo kiufupi ni kero. Kama umempata mchumba wako kanisani na mnapendana basi endelea nae lakini kama upo single basi sishauri uwe na mwanamke anaejifanya anaipenda dini kupita kiasi. Utakuja kujuta baadae mana hawa ni watu wanaoongoza kutokujali mahusiano yao kwa kufatilia dini. Haoni hatari kukukosea heshima eti kwa sababu anadefend mchungaji au neno la mchungaji
haya yote umeyafuga mwenyewe.Simsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.
Mkiona napost post za kilokole, basi junior kwamba mke wangunni mlokole nguli, ila ulokole wake unanifanya na mimi niwe mlevi nguli.
Mke wangu ana mabanda ya kuku hapa uani, kuku wake wanamulikwa na taa za umeme lukuki kupata joto.
Mi nikiwasha ac au hata feni dakika kidogo tu, tutagombana wiki nzima. Leo katoka shopping ya wiki kakuta najipepea na feni tu, kawasha moto namaliza umeme, utadhani matako yake yameshawahi kununua hata unit moja.
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Anafuga kuku, ten pasenti inaenda kwa mchungaji. Kuku wakubwa wa mwanzo anawaita limbuko anampa mchungaji, yaani ujinga mtupu.
Kasheshe ni kubwa kuishi na likitu hili. Mchungaji analishwa makuku wakubwa wakubwa, mimi sili kuku hadi nilishwe magendo vibudu vya kuku waliokufa.
Good enough nina mahusiano mazuri sana na watenda kazi wangu, kuanzia bandani, garden hadi jikoni, navujishiwa za ndani zote.
Mara mlokole ajaribu kuniwekea sumu, mara ajaribu kunikisha limbwata, mar amfukuze.mama yangu na ndugu zangu, mara aniambie utakufa mapema, hutakiwi kutuficha mali zako.
Jamani wanawake mmepatwa na kinyamkera gani?
HahahahaSimsemi mke wangu vibaya, ila ndio tumecharurana na saa hizi naenda kulala bar.

Mkuu maharifa sahii ya MUNGU ni kile kilichoandikwa kwenye Bible (particularly to this case). Yaani maelekezo ya MUNGU na siyo ya kiongozi wako wa kiroho. Chochote uambiwacho/ kusikia kipime kwa neno la MUNGU.Andika vizuri ueleweke.