Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Na bado unaishi nae..? Dini huwa baadhi ya wahuni huigeuza kichaka cha kificha maovu yao. Huyo sio mlokole ila mchawi muuaji
 
Hii mianamke ya kilokole isiyo na akili msiioe, ni hatari kwa furaha ya nyumba yenu.
Mwanamke amchaye BWANA ndio atakaye sifiwa. Mpendwa, mpende mkeo kama unavyojipenda ya mkini huyo ndio anayekuombea usalama usibutuliwe na watoa kafara pindi utokapo kwenye ulevi. Mpende, mtunze, bila kutazama madhaifu yake maana binadamu hatujakamilika.
 
Wa kwangu hapa tangu anichezee picha la kichawi la ki Nigeria nipo njia panda na hivi ni mjamzito tena Aiseh Mungu atusaidie KWAKWELI!!
 
Bonge la gazeti.... Kwani fungu la kumi lazima upeleke kanisani!!?? Ukilitemga fungu lako la kumi ukalipeleka Kwa wenye uhitaji na sio kanisani Kuna shida!!?
 
Mungu wako amesema upeleke wapi.....mbona mnajipa majukumu Mungu hawajawapa!!! Mungu wako alisema tupeleke wapi!!?
 
Wewe sasa ndio umeconfirm hapa kwamba Walokole wengi ni machizi.

Yani Mungu alishwe na binadamu kweli na wewe wasadiki hili?

Yani pesa Mchungaji anenda kununuwa Prado wewe unasema ni malimbuko unamlisha Mungu kwanza upo timamu kichwani?

Kiranga hebu angalia hizi Ng'ombe eti Mungu analishwa na wao!
 
Kaka pole sana. Pamoja n'a approach uliotumia kufikisha ujumbr kuwa na negative nyigi Sana kufanya mesg yako kuwa ngumu kueleweka Ila kwa mimi nimelewa. Natamani nikisaidie kwenye Hilo. Pôle sana. Nitatute Inbox nikups dawa ya haya matatizo ya janga hili. Unawwleza jikuta una murder case kaka usipokuwa makini
 
Ukiweka msaada huo hapa hadharani utakuwa umewasaidia wengi. Asante kaka
 
Pole, ndio chaguo lako hilo!
 
Kaka nilifukuruw nikupe nondo zote l'île Inbox lakini ngoja nikumegee hapa chache tu.

La kwanza hakikisha Imani ya mwenzako
Kwa kuanzia ishi kwa principle.
Rules zifuatazk zitakusaidia

Rule Number 1

Mume Ni kichwa usitegemee kipato Cha mwanamke kuendesha familiar yako.
Maana yake Ni kwamba muache mke awe na vitega uchumi vyake Ila anzisha vitega uchumi vya familiar ambavyo wewe ndio msimamizi wake. Ni ngumu kuanzisha vitega uchumi ambavyo utavisimamia wewe mwenyewe wakati wewe Ni muajiriwa wa kazini. Ila unawezakana kutafuta vitega uchumi vya wewe kusimamia hata kwa remote.

Rule number 2
Tafuta suluhu za matatizo au gaps anazoppita malke wako mfano hataki uwashe AC jibu lake Jenga nyumba nyingine hata kama ni hapo nyumbani weka LUKU nyingine
Leta mboga nyumbani of your choice.

Rule No 3
Jenga mji mwingine Kama back up akikuudhi sana Hama hata kwa muda unakuja kumshughulikia unarudi kwenye mji mpya wako ambako unaweka vitega uchumi vingine vinavyokulazimisha kukaa mbali nae na umakuwa na kisingizio Cha uzalishaji huko mbali nae

Rule No 4
Jiamini akikufokea usimjibu wewe kaa na principle tu.

Hayo ni machache tumeyaishi
Atajirudi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…