ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Yani mwanamke akufokee usumjibu?Kaka nilifukuruw nikupe nondo zote l'île Inbox lakini ngoja nikumegee hapa chache tu.
La kwanza hakikisha Imani ya mwenzako
Kwa kuanzia ishi kwa principle.
Rules zifuatazk zitakusaidia
Rule Number 1
Mume Ni kichwa usitegemee kipato Cha mwanamke kuendesha familiar yako.
Maana yake Ni kwamba muache mke awe na vitega uchumi vyake Ila anzisha vitega uchumi vya familiar ambavyo wewe ndio msimamizi wake. Ni ngumu kuanzisha vitega uchumi ambavyo utavisimamia wewe mwenyewe wakati wewe Ni muajiriwa wa kazini. Ila unawezakana kutafuta vitega uchumi vya wewe kusimamia hata kwa remote.
Rule number 2
Tafuta suluhu za matatizo au gaps anazoppita malke wako mfano hataki uwashe AC jibu lake Jenga nyumba nyingine hata kama ni hapo nyumbani weka LUKU nyingine
Leta mboga nyumbani of your choice.
Rule No 3
Jenga mji mwingine Kama back up akikuudhi sana Hama hata kwa muda unakuja kumshughulikia unarudi kwenye mji mpya wako ambako unaweka vitega uchumi vingine vinavyokulazimisha kukaa mbali nae na umakuwa na kisingizio Cha uzalishaji huko mbali nae
Rule No 4
Jiamini akikufokea usimjibu wewe kaa na principle tu.
Hayo ni machache tumeyaishi
Atajirudi mwenyewe
Ukae kimya
Dar imewaharibu wanaume
Sent using Jamii Forums mobile app