Kuna aina ya watu humu Duniani nawachukia sana😠

Kwahiyo hasira zako zipo kwenye position ya mafundi tu
Lakini mbona amebainisha ufundi wa aina Fulani, au shughuli flani hivi ........ Nadhani amemaanisha ni kazi yoyote ya muda mfupi na malipo ni baada ya kumaliza kazi aliyopewa.
 
Hapa

[Hapana mkuu hiyo nimetoa kama mfano tu, hii ni kwa waajiri wote wenye hii tabia.
 
Lakini mbona amebainisha ufundi wa aina Fulani, au shughuli flani hivi ........ Nadhani amemaanisha ni kazi yoyote ya muda mfupi na malipo ni baada ya kumaliza kazi aliyopewa.
Hii ni kutokana na ninachokifanya
 
Back
Top Bottom