Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Lakini mbona amebainisha ufundi wa aina Fulani, au shughuli flani hivi ........ Nadhani amemaanisha ni kazi yoyote ya muda mfupi na malipo ni baada ya kumaliza kazi aliyopewa.Kwahiyo hasira zako zipo kwenye position ya mafundi tu