BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Sometimes unaweza ukafeel kwa nini wenye magari wanatuchukia sana wenye pikipiki(bodaboda) the moment unaendesha pikipiki kuna ile imani kwamba hutakiwi kusimama kwenye foleni as long kuna upenyo basi ni lazima upite na ukikuta kuna bwege kazuia upenyo unamaindi kinoma ile nafasi ya wazi baina ya gari na gari bodaboda walishajimilikisha.
Wito kwa serikali wanapojenga miradi ya barabara wakumbuke kuweka lane special kwa ajili ya pikipiki kuepusha mkanganyiko kwa watumiaji wa barabara
Leo nimeivaa Rav 4 ya mtu kwa ubwege wa hali ya juu natoka zangu posta kuelekea airport kama kawaida napenya fresh kufika Goldstar kuna Crown imebana kati uzuri akaniona kiroho safi kabana pembeni kaniachia upenyo kutokana na wema alionifanyia nikataka kumshukuru kwa kumpungia mkono nikaachia clutch kilichonikuta nikukosa balance nikaenda kupiga gari ya mbele kwa pembeni uzuri pikipiki haikuzima nikatia gia mbele kwa mbele(hit and run)
Hii kanuni ya kutoangalia nyuma unaponusurika na misukosuko barabarani ninapenda kuiapply kuna wajuba hawana dogo kesi ya kuku unaweza kulipa ng'ombe