Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

Kuna aliyefanikiwa kuapply kazi NMB za Direct sales

Champion tz

Member
Joined
Aug 31, 2018
Posts
11
Reaction score
7
Wakuu kuna mtu aliye fanikiwa kuapply hizi kazi zilizotangazwa na Benki ya Nmb maana kwangu naona portal yao imegoma kufunguka na muda ndio unaelekea kuisha.
 
Wapo ila kwa wengine ni kitendawili apply kuanzia mida ya saa sita usiku kukiwa hakuna watu wengi kwenye mtandao inaweza kukubali maana mimi kuna rafiki yangu kafanya hivyo imekubali.
 
Je Apitude test kuna aliyefanikiwà Link yao inahitaji user name na password
 
Nipo nahangaika nayo tangu huo muda waliosema haikubali kabisa kwa mwisho saa ngap?
 
Kufanya test
Iyo reply uliyonukuu alikua anamaanisha kuwa kapply ni ya muda toka February mbili, alikua hamaanishi kuwa kafanikiwa kufanya text, ndo kitu nilikua najaribu kukujibu hapo juu.
 
Iyo reply uliyonukuu alikua anamaanisha kuwa kapply ni ya muda toka February mbili, alikua hamaanishi kuwa kafanikiwa kufanya text, ndo kitu nilikua najaribu kukujibu hapo juu.
Anhaa nmeelewa asante
 
Wakuu kuna mtu aliye fanikiwa kuapply hizi kazi zilizotangazwa na Benki ya Nmb maana kwangu naona portal yao imegoma kufunguka na muda ndio unaelekea kuisha.
Mbn umeshachelewa ndugu??? Wenzio wako kwenye interview leo
 
Back
Top Bottom