Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu HESLB hawaeleweki kabisa. Wenyewe hawajui majibu wanatoa lini, maana hata ukienda Bodi pale hawajui ni lini wanatoa, watakuambia tu yakikamilika watatoa.Tafadhalini anomba mnifahamishe baada ya kukata rufaa bodi ya mikopo majibu yanatoka lini??, Kuna aliyepata majibu??
Sawa mkuu,ila utupe taarifamh hivo kunamajibu ya rufaa ngoja niwaendee uko uko wakaniambie yamekuaje tumegeli tena ntawajuza me naenda ofisini kwao
Vipi mkuu,kwani kuna habari gani huko?ninlienda wakuu bac
mkuu walisema wiki hii hii cha ajabu ijumaa hii ndo yakata bado cijaskia milio kabisa naisi walikuwa waongo2Vipi mkuu,kwani kuna habari gani huko?
Tafadhalini naomba mnifahamishe, baada ya kukata rufaa bodi ya mikopo majibu yanatoka lini? Kuna aliyepata majibu?
Yani hapa hatuelewi hatima yetu tuendelee na chuo au tuache tukapambane kitaaa....
Daaah wana wanajivuta sana mpk mwz wa 12 huu kwnn anko magu hawavamii hawa wahusika?
Hi noma sasa
aha wewe vyuo navyo vinatusubir sisi tupewe mikopo ndo vifunge usajir kwani?Ila nazani wiki 2 zijazo bomu litalipuka tu ila tuwe wavumilivu tuishi kwa kuamini tusichokijua.
Amna bhana si walosema teyar ipo bilion 1na point kazaa kwa ajit ya wanaoshinda rufaa mkuu ccm hapa tena aihusiki uchaguzi anafanya badru na wakeze ndo wanaowapa watoto wa marafiki zaoSiyo kwamba wanachelewa makusudi, Serikali haijawapa pesa , endeleeni kuchagua CCM
mkuu pole sana ata mm sina usajir adi mdah uhu na kuaitisha mwaka sheria mbaka uwe umelipa ada nami sina ata sh mia so nakaribia kudisco cku wakitangaza tu usajir umefungwa bac ndo ntakuwa nimeaga maisha ya kusoma rasmi lakin sasa napumulia mipira nafkir mwisho wangu ni hyo wki ijayo usajr ufungwapoDaaaaaaah wengine hata kusajiliwa maana tupo mguu nje mguu ndani tulifika chuon wanataka hela na mim natemegemea boom nilipe kias kitavhodaiwa ada