Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

Kuna aliyepata majibu baada ya kukata rufaa Bodi ya Mikopo?

Mkuu bhana

Majina ya waliopata yametolewa leo... Appeal imepokelewa muda haijaanza kufanyiwa kazi leo

Ummeelewa

Labda ungesema your appeal is succesful..

Kumaanisha maombi yako ya ku appeal yamefanikiwa
Mbona hamna percentage
 
Mkuu bhana

Majina ya waliopata yametolewa leo... Appeal imepokelewa muda haijaanza kufanyiwa kazi leo

Ummeelewa

Labda ungesema your appeal is succesful..

Kumaanisha maombi yako ya ku appeal yamefanikiwa
IMG_20191207_183947.jpg

Kwahiyo huyu amepata?
 
waku wamebadilishaa, watu walikuwa wameandikwa congratulation, your appeal is successful

sasa hivi wameweka not successful....daa

angalieni account zenuu, kuna watu mambo yamebadilikaa
 
awa ma it wa bodi wanabonyeza batani za kibod wakiwa wamepakatwa nni hvi wenzangu mnawaelewa kuna mtu ambaye status azjabadlka
 
awa mbwa wanalipwa pesa zetu za kodi sisi walala njaa alafu kumbe awajabobea kwenye taaruma it wababaishaji magu tumbua mbwah awa mara ya pili hii makosa yale yale wlishawaigi weka x kwenye payment info asa niliwezaje kujaza docoment zangu kama sikufanyaga malipo jamaa awa me sijasoma it lakini ninauakika awana uwezo wa kunipita kuchezea computa wameajiliana ki connection tu usikute wanaundugu na badru ndo mana wamepata kazi pale awana uwezo na taaruma zaili kila siku wao wanafanya makosa
 
awa mbwa wanalipwa pesa zetu za kodi sisi walala njaa alafu kumbe awajabobea kwenye taaruma it wababaishaji magu tumbua mbwah awa mara ya pili hii makosa yale yale wlishawaigi weka x kwenye payment info asa niliwezaje kujaza docoment zangu kama sikufanyaga malipo jamaa awa me sijasoma it lakini ninauakika awana uwezo wa kunipita kuchezea computa wameajiliana ki connection tu usikute wanaundugu na badru
 
Hii ndo ile bodi kila siku haiishi madudu kila siku

Kuna wanafunzi wengi sana ambao ni yatima wamekosa mkopo kabisa mpaka navyozungumza hapa ushahidi ninao

Mfano nina mwanafunzi ambaye ni binti yatima ambaye amenyimwa kabisa mkopo wa ada kapewa boom tu

Mwingine ni mlemavu lakini kakosa kabisa hii bodi inacheza na imekua ya hovyo kiasi hiki??

Walipotoa hili dirisha la kufungua rufaa hebu fikiria ni maelfu ya wanafunzi walifungua rufani zao na kuambiwa wamefanikiwa cha ajabu karibu wote wamegeuziwa kibao na kuandikiwa failed dk za mwisho na walioshinda rufani eti ni 600 tu wakati nakumbuka mwaka jana kama sikosei au mwaka juzi wanafunzi zaidi ya 4000 wali-appeal na walioshinda ni zaidi ya 2000 halaf iweje mwaka huu wawe 600 tu?

Tunahitaji tamko la wizara ya elimu juu ya haya yanayotendwa na bodi ya mikopo sio sawa kwa vijana wetu wenye ndoto za kusoma

Ubaguzi wa kuangaliana sura na undugu ndo unaitafuna bodi ya mikopo inanuka undugu tu mtoto wa maskini ataonekana saa ngapi?

Napendekeza yafuatayo

1.Wizara ya elimu fanyeni uchunguzi kuhusu maelfu ya mayatima na walemavu waliokosa mikopo huku vigezo wanavyo

2.Fanyeni uchunguzi juu ya dirisha la appeal window lililogubikwa na ubaguzi rushwa na unyimaji wa haki

3.Mchakato wa kuapell rufani urudiwe au uongezewe siku na usimamiwe kwa haki ili vijana wengine wapate haki

4.Bodi iwajibishwe kwa udanganyifu imefanya udanganyifu wa kudanganya wanafunzi kwa kuwaonyesha kuwa rufani zao zimefanikiwa hivyo wangoje mkopo mwisho wa siku wakawageuka na kuwaambia karibia wote kuwa rufani zao zimeshindwa

Nashindwa kujuwa bodi imekua ya hovyo hivi siku hizi kwanini???Hivi hii nchi haina sheria za kuwawajibisha hawa watu?

Hawa vijana mlowadhulumu kwa hili hakika hamtosamewe milele na ipo siku watarejea kwa rangi nyingine kwa machaguo mengine
Mark my word
 
awa mbwa wanalipwa pesa zetu za kodi sisi walala njaa alafu kumbe awajabobea kwenye taaruma it wababaishaji magu tumbua mbwah awa mara ya pili hii makosa yale yale wlishawaigi weka x kwenye payment info asa niliwezaje kujaza docoment zangu kama sikufanyaga malipo jamaa awa me sijasoma it lakini ninauakika awana uwezo wa kunipita kuchezea computa wameajiliana ki connection tu usikute wanaundugu na badru
Pole sana kijana
 
Back
Top Bottom