Kuna Aliyeuelewa wimbo mpya wa Ommy Dimpoz?

ommy yuko kwenye vevo..hakuna marobot
 
wimbo mzuri sana. Mi nausikiliza mara kwa mara.
 
wimbo mzuri sana. Mi nausikiliza mara kwa mara.
haswaaa...wimbo mzuri huwa hauhitaji kuusikiza Mara nyingine iliuweze kuujua uzuri wake ....yaani ukiusikiza kwa Mara ya kwanza tu "" kama kweli wajua mziki .unajua kuwa hii ni hit song
 
Huu wimbo wa Rayvanny unakuja kuufunika wimbo wa Ommy

Chuki mbaya sana hii mwisho utakua mchawi yanje ningoma kali kuzidi alizowaikutoa ameimba kiproffisional zaid big up ommy
 
Huu wimbo wa Rayvanny unakuja kuufunika wimbo wa Ommy

Tangu Ray atoe huku Kwetu
hili pochi nene ndo nmemwelewa... Ray anafaa zaidi kuRap sio kuimba... Yani pochi nene bonge la ngoma kwa wapenda hiphop swagg za majigambo
 
Niko hapa nasoma hii thread huku efm ngoma ya j-mo niko busy inapigwa,aisee vijana wa sasa hawaumizi vichwa kabisa
 
Chuki mbaya sana hii mwisho utakua mchawi yanje ningoma kali kuzidi alizowaikutoa ameimba kiproffisional zaid big up ommy
😀😀😀😀😀😀 ukija kujua maana ya profesheno ndo utajua kama ndugu yenu katoa boko😛😛
 
Kiukweli nyimbo ni mbaya sana, hamna kitu mule
 
Duh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
ila kakaza ana viewers 610k kwa siku 4....na hao wanaomsifia Rayvanny-pochi nene ina viewers 238k kwa siku moja that means after 4days kama trend zitaenda sawa atakuwa anaaraound 600k viewers so sioni tofaut hapo......naona kuwa wote ni wasanii wakali wanaokubalika
 
Achana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
 
Achana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
wimbo wake mzur sasa sijui watu humu ndani kwann wanamponda kihvy
 
Ule ndo nyimbo ya kwanza ya dimpoz nayoipenda ukisema nitaje list ya nyimbo zake nazozipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…