Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wimbo mzuri sana. Mi nausikiliza mara kwa mara.hahaa hii thread inenifanya nibaini kuwa kweli wabongo ni wanafiki sana ..na hawaujui mziki kabisaaaa""" baada ya kuusikia vyema wimbo wa ommy "" tukiachana na chuki kando "" nadiriki kusema ommy ameimba ile ngoma kwa kiwango cha juu mnooo"" sikuwahi kutegemea kuona kuwa Jamaa anaweza kufikia level ile ya uimbaji....melody zimesimama kabadilika kaacha kubana pua " kaachana na nyimbo za utoto utoto"" yaani bonge si la ngoma...awali nilikataa kabisa kuwa ni yeye ndiye aliyeimba" nilidhni kuwa ni yule Jamaa aliyeimba amarula....BINAFSI NIMERIDHIKA NA ALICHOKIFNYA"""
haswaaa...wimbo mzuri huwa hauhitaji kuusikiza Mara nyingine iliuweze kuujua uzuri wake ....yaani ukiusikiza kwa Mara ya kwanza tu "" kama kweli wajua mziki .unajua kuwa hii ni hit songwimbo mzuri sana. Mi nausikiliza mara kwa mara.
Chuki mbaya sana hii mwisho utakua mchawi yanje ningoma kali kuzidi alizowaikutoa ameimba kiproffisional zaid big up ommyFrankly speaking bila unafiki wala kumuonea nimeuskiliza wimbo mpya wa Dimpoz,audio mara 5 na kuangalia video mara 5,sikuamini kama yule ndo Ommy Dimpoz wa Ngagushima,Me n You etc dooh wimbo haueleweki wala nini kwa kifupi mwana siku hizi miyeyusho kabisa amechuja,huko youtube siku ya pili lakin views hata 350k bado hajafikisha.....Ommy kuna Mahali unakosea mdogo wangu kaa chini tuliza kichwa...rudia zile enzi mzee baba,usitembelee nyota ya Ali Kiba utapotea.
Najua kwa Sred hii nakupigia promo kimtindo but umezingua sana ngoma mbovu mno
Tangu Ray atoe huku KwetuHuu wimbo wa Rayvanny unakuja kuufunika wimbo wa Ommy
😀😀😀😀😀😀 ukija kujua maana ya profesheno ndo utajua kama ndugu yenu katoa boko😛😛Chuki mbaya sana hii mwisho utakua mchawi yanje ningoma kali kuzidi alizowaikutoa ameimba kiproffisional zaid big up ommy
ila kakaza ana viewers 610k kwa siku 4....na hao wanaomsifia Rayvanny-pochi nene ina viewers 238k kwa siku moja that means after 4days kama trend zitaenda sawa atakuwa anaaraound 600k viewers so sioni tofaut hapo......naona kuwa wote ni wasanii wakali wanaokubalikaDuh siku ya pili hajafikisha views 300 aiseee ina maana kiba ndo hatoi wimbo kabisaaaa maana alihaidi wimbo wa ommy ukifikisha views million atashusha vichupa mfululizo
ila kakaza ana viewers 610k kwa siku 4....na hao wanaomsifia Rayvanny-pochi nene ina viewers 238k kwa siku moja that means after 4days kama trend zitaenda sawa atakuwa anaaraound 600k viewers so sioni tofaut hapo......naona kuwa wote ni wasanii wakali wanaokubalika
wimbo wake mzur sasa sijui watu humu ndani kwann wanamponda kihvyAchana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
Mbele kwa mbeleUmetoka lini!!??
Unaitwaje!??
wimbo wake mzur sasa sijui watu humu ndani kwann wanamponda kihvy
Ukiachwa achika[emoji3] [emoji3]Achana na wcb wao kiki zao zote zimebuma. Watu wamemkazania ommy sababu ya kubebwa na kiba. Kiba kasema hatoi wimbo mpaka ommy afikishe views 3mil
J-Mo niko busy? Kuwa sirias mkuu!Niko hapa nasoma hii thread huku efm ngoma ya j-mo niko busy inapigwa,aisee vijana wa sasa hawaumizi vichwa kabisa
Nambie mkuuWenye maskio hawaskilizi wanaoskiliza hawaskii.