Kuna aliyewaza kutengeneza face masks kujikinga na corona virus?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako.

Fanya malipo kwa mobile money.

Tembea na hand sanitiser.

Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.

Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa. Usipompa mkono mtu na huyo mtu ana pumua na kupiga chafya katikati ya mazungumzo yenu utakuwa umeuwepuka ugonjwa kweli?

Ikitokea una mgonjwa nyumbani, vaa masks wakati unamhudumia. Nawa mikono kila baada ya huduma hata ukimpa maji ya kunywa.
 
Mkuu huu ugonjwa mbaya sana,nimetoka kumpkea jamaa yangu alikuwa huko dah!kwanza kakonda kwa kukaa ndani tu,kwa anavyosimulia nimebaki naumia sana,idad ya watu wanaotangazwa ni chache,watu wamekufa wengi vya kutisha.

Tuombe sana mungu atuepushie mbali,
 
Mkuu huu ugonja mbaya sana,nimetoka kumpkea jamaa yangu alikuwa huko dah!kwanza kakonda kwa kukaa ndani tu,kwa anavyosimulia nimebaki naumia sana,idad ya watu wanaotangazwa ni chache,watu wamekufa wengi vya kutisha.

Tuombe sana mungu atuepushie mbali,
Mkuu jirani yangu aliugua, ni mama wa miaka 50, mume wake amesafiri. Alikuwa hajiwezi hata kwenda msalani. Nilipatahabari za ugonjwa, kufika kwake na kumuandaa kwenda hospitali nilivaa mask

Alikuwa na dalili zote za corona virus. Tulipiga simu alichukuliwa jana na watu wa public health team. Leo madaktari wameridhika ni pneumonia kali sana. Yuko hospitali yakawaida.

Wakati ninamhudumia nilisema Mungu nisaidie.
 
Sky Eclat,
Besti wengine zali la Corona tunaombea litupate ni moja ya alama ya kuacha maishani. Yani kitu kinatrend duniani kikupite hivihivi? Let not the current event pass you, join the movement now the coronavirus 2020.
 
Mungu atakuepusha kwa dogo na kubwa mpendwa
 
Besti wengine zali la Corona tunaombea litupate ni moja ya alama ya kuacha maishani. Yani kitu kinatrend duniani kikupite hivihivi? Let not the current event pass you, join the movement now the coronavirus 2020.
AKili za kipumbavu
 
Hivi kwa nini tusifunge mipaka yetu hadi Corona virus ipite? Tusitishe na utalii wa kutoka China
 
Always mungu anawapenda wale wanaotumia matatizo yaliyo kwenye jamii kama fursa kwao ya kupata pesa

Maana wanakesi ya kujibu kwa sir GOD

Why not for free
 
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks 😷 zako na familia yako.

Fanya malipo kwa mobile money.

Tembea na hand sanitiser.

Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.

Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa. Usipompa mkono mtu na huyo mtu ana pumua na kupiga chafya katikati ya mazungumzo yenu utakuwa umeuwepuka ugonjwa kweli?

Ikitokea una mgonjwa nyumbani, vaa masks wakati unamhudumia. Nawa mikono kila baada ya huduma hata ukimpa maji ya kunywa.
 
Attachments

  • VID-20200306-WA0016.mp4
    326.2 KB

Zile mask wanazotumia wachina si hizi za kawaida za vumbi zao zina antivirus pia sio kitambaa tu
 
Huo ugonjwa ni wa watu weupe, hauwaathiri Waafrika.

Aiseee hata mimi ninaamini hvyo ...ingawa kuna pneumonia kali inazurura huku mtaani tokea December mwaka jana nikashindwa ielewa kama ni corona ama ni nn ? All in all waafrica kufa kwa fluu ni kazi sana .
 
Fursa hiyo
Screenshot_20200307-102532.jpeg
Screenshot_20200307-102511.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una uhakika na hili?

Kwani hakuna waafrika (hata walioko China) waliougua huu ugonjwa?
Hakuna ngozi nyeusi hata mmoja aliyekufa kutoka na huu ugonjwa,
We ulishaona wapi mwafrika anakufa kwa mafua?
 
Back
Top Bottom