Mkuu jirani yangu aliugua, ni mama wa miaka 50, mume wake amesafiri. Alikuwa hajiwezi hata kwenda msalani. Nilipatahabari za ugonjwa, kufika kwake na kumuandaa kwenda hospitali nilivaa maskMkuu huu ugonja mbaya sana,nimetoka kumpkea jamaa yangu alikuwa huko dah!kwanza kakonda kwa kukaa ndani tu,kwa anavyosimulia nimebaki naumia sana,idad ya watu wanaotangazwa ni chache,watu wamekufa wengi vya kutisha.
Tuombe sana mungu atuepushie mbali,
Mkuu jirani yangu aliugua, ni mama wa miaka 50, mume wake amesafiri. Alikuwa hajiwezi hata kwenda msalani. Nilipatahabari za ugonjwa, kufika kwake na kumuandaa kwenda hospitali nilivaa mask
Alikuwa na dalili zote za corona virus. Tulipiga simu alichukuliwa jana na watu wa public health team. Leo madaktari wameridhika ni pneumonia kali sana. Yuko hospitali yakawaida.
Wakati ninamhudumia nilisema Mungu nisaidie.
AKili za kipumbavuBesti wengine zali la Corona tunaombea litupate ni moja ya alama ya kuacha maishani. Yani kitu kinatrend duniani kikupite hivihivi? Let not the current event pass you, join the movement now the coronavirus 2020.
Tumbaku kabisaBesti wengine zali la Corona tunaombea litupate ni moja ya alama ya kuacha maishani. Yani kitu kinatrend duniani kikupite hivihivi? Let not the current event pass you, join the movement now the coronavirus 2020.
Chukuwa hatua mwenyewe, shona masks π· zako na familia yako.
Fanya malipo kwa mobile money.
Tembea na hand sanitiser.
Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.
Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa. Usipompa mkono mtu na huyo mtu ana pumua na kupiga chafya katikati ya mazungumzo yenu utakuwa umeuwepuka ugonjwa kweli?
Ikitokea una mgonjwa nyumbani, vaa masks wakati unamhudumia. Nawa mikono kila baada ya huduma hata ukimpa maji ya kunywa.
Zile mask wanazotumia wachina si hizi za kawaida za vumbi zao zina antivirus pia sio kitambaa tuChukuwa hatua mwenyewe, shona masks π· zako na familia yako.
Fanya malipo kwa mobile money.
Tembea na hand sanitiser.
Mtu atakayeshona masks za biashara anaweza kupata faida sana kipindi hiki.
Coronavirus ni airborne disease, njia ya kuenea kwa haraka na kuingiza wadudu kwa njia ya hewa. Usipompa mkono mtu na huyo mtu ana pumua na kupiga chafya katikati ya mazungumzo yenu utakuwa umeuwepuka ugonjwa kweli?
Ikitokea una mgonjwa nyumbani, vaa masks wakati unamhudumia. Nawa mikono kila baada ya huduma hata ukimpa maji ya kunywa.
Huo ugonjwa ni wa watu weupe, hauwaathiri Waafrika.
Una uhakika na hili?Huo ugonjwa ni wa watu weupe, hauwaathiri Waafrika.
Hizi hazisaidii kitu
Hakuna ngozi nyeusi hata mmoja aliyekufa kutoka na huu ugonjwa,Una uhakika na hili?
Kwani hakuna waafrika (hata walioko China) waliougua huu ugonjwa?