Kuna aliyewaza kutengeneza face masks kujikinga na corona virus?

sisi tunaojazana kwenye madaladala ndio hatari zaidi yani tunapumuliana na hatua stahiki bado azichukuliwi wakiamini kwamba bado haijafka sijui wanangoja ifike ndio baada ya madhara ndio wachukue hatua za kujikinga. Kwenye school buses za watoto wetu ni yale yale tu watoto wanajazana na ni hatari mno, wito wangu kwa wazazi tuwe makini na tuwafumbue macho na fikra watoto wetu waelewe kuhusu hili janga na namna ya kujikinga vinginevyo tupo hatarini Mungu atulinde.
 
Hivi kwa nini tusifunge mipaka yetu hadi Corona virus ipite? Tusitishe na utalii wa kutoka China


Hizo barabara ,hayo majengo na shughuli (tenda) nyingine za kiufundi na zisizo kiufundi walizoingia mikataba atafanya nani?
 
Ee Mwenyenzi Mungu tuepushie na hili janga baba
 
Wachina ndo wanaona umuhimubwa kuzaliwa africa,yani kama izo dalili ni corona basi mi ninao siku nyingi, nina mafua makali,koo linapalia,kichwa kinauma ila si mara kwa mara,napumua fresh, ila hii ilinitokea nilikunywa maji ya mvua nimekoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ulijitoa mhanga ,Mimi ningekimbia,,manesi mna roho ngumu sana
 
Watu walipata sana hela na hizi mask maski

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah pole sana kwa Moyo wa ukarimu upo U.S.A baby[emoji23][emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi huko? Kwa mtogole?
 


Wewe si ulikuwa unakataa kwamba sio Dr (MD)/ nurse!!!🤣
 


Inadaiwa watu waliokufa wanakaribia 10,000 au zaidi hadi sasa.
 
Sky Eclat,
Besti wengine zali la Corona tunaombea litupate ni moja ya alama ya kuacha maishani. Yani kitu kinatrend duniani kikupite hivihivi? Let not the current event pass you, join the movement now the coronavirus 2020.
Kama division one ilikupita ulivyokua O-level mengina hayana maana sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…