Kuna aliyewaza kutengeneza face masks kujikinga na corona virus?

Hivi kwa nini tusifunge mipaka yetu hadi Corona virus ipite? Tusitishe na utalii wa kutoka China
Nchi za Afrika zikifunga mipaka ujue zitarudi nyuma miaka 100 nyuma...

Jambo la muhimu ni kuimarisha uchunguzi wa afya kwa raia wanaoingia, kufuatilia taarifa za waendako wakifika nchini na taadhari nyinginezo...

Ila huyu mdudu akifanikiwa kupenya Tanzania,Mungu saidia ground zero isiwe Dar, Arusha au Mwanza maana watu watateketea...
 
Sio kila mask inasaidia...
 
Wauze tu...

Hili bomu ni baya sana, nina imani hii outbreak itasambaa zaidi ya robo tatu ya dunia na itabaki kwenye vitabu vya historia...
Kwenye history miaka mingi nyuma kuna aina ya flu iliua sana Ulaya. Uzuri wake waliosalia wamepata innate immunity ya flu hata HIV hawa ni wazungu jamii ya kcancassian.
 
Kwani kumhudumia jirani kunahitaji qualifications?


"Alikuwa na dalili ZOTE za corona virus".

Hiyo kauli yako inaonyesha wewe ni medical expert. (Hisia yangu tu).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…