Una uhakika gani hiyo mimba ni yako? Na ni nani amekwambia una kesi? Hujashtakiwa popote, mwanamke mwenyewe hana hata wasi wasi sasa wewe unataka kusolve kesi ipi?Jamani wakubwa zangu shikamooni.
Mdogo wenu nimeyakanyaga, kuna mwanamke ni mke wa mtu tena wa ndoa kabisa. Katika kuendekeza ngono zembe nimejikuta nimempiga mimba. Cha kushangaza yeye anaonekana hana hata wasiwasi,nimemuambia tuichomoe kakataa.
Wakuu,hii kesi naimaliza vipi?
Ishi maisha yako kwa amani acha kujipa stress za bure