Kuna ambae ana uzoefu wa kuzaa na mke wa mtu humu?

Una uhakika gani hiyo mimba ni yako? Na ni nani amekwambia una kesi? Hujashtakiwa popote, mwanamke mwenyewe hana hata wasi wasi sasa wewe unataka kusolve kesi ipi?

Ishi maisha yako kwa amani acha kujipa stress za bure
 
Huo uzoefu mie ninao,huna haja ya kumwambia aitoe,mwache azae ila sasa wewe acha uhusiano na huyo mke wa mtu,pia kumbuka mkeo pia kuna mtu atamtia mimba,guo ndio mzunguko wa dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…