Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sijawahi ila ulivyowaelezea ni matapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na mkurugenzi hapo Tz ko wamekua wakinizungusha kipindi naingia mkataba niligongesha form zao kwa mwanasheria nmeenda kwake yeye anasema niende mahakamani hapa sielewi ndio nauliza Kuna mtu labda amewekeza ili tujue jinsi ya kudai
Wewe ndugu usishiriki wizi..hawa Salvation wamepotea na mitaji ya watu..mimi ni mhanga 5M....wamekula...wamepotea...Walikua na ofisi yao pale mabibo...wanefunga...Ni kampuni inayojihusisha na kilimo makao makuu yapo mbinga Ruvuma unaweza ukaeapa pesa wakakulimia mnaingia mkataba sasa nilikua nauliza Kuna mtu anaijua au ameisha fanya hivyo mm Ni mmoja wapo ambae nmewekeza