Ilivyokua mwaka wa mwisho chuo semister ya pili niliwekeza au niseme niliingia nao mkataba wa kulima nikatoa 2600000 kwa ajili ya kulima heka mbili za tikiti maji nikitegemea faida sasa mpaka saivi naona kimya nimejaribu kufatilia kwa wafanyakazi kwa kuwapigia simu wanasema walipata hasara na mkurugenzi hapo Tz ko wamekua wakinizungusha kipindi naingia mkataba niligongesha form zao kwa mwanasheria nmeenda kwake yeye anasema niende mahakamani hapa sielewi ndio nauliza Kuna mtu labda amewekeza ili tujue jinsi ya kudai