Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.

Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?

Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.

View attachment 3148330
Halafu ukiipata hiyo sababu, itakusaidia nini Comrade! Uamuzi si wa kwao!! Au wamefanya kosa la kisheria/kikanuni, kubadili uwanja wa kuchezea?

Wabongo mnapenda sana ushabiki maandazi.
 
Hashim Ibwe msemaji wa Azam akihojiwa amesema kwamba Uwanja wa Azam ulikuwa unalindwa kwa mbwa na taa kutozimwa usiku.
Hivyo hakukua na kipenyo cha kufanya ujinga ujinga.
Amedai kwamba kikawaida mpangaji anapohama kwenye sehemu anayopanga basi ni vyema akahamia kwake.
 
Vipigo mfululizo vimewakimbiza chamazi, cctv kamera zimewakimbiza chamazi.
 
Back
Top Bottom