Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup.
Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu?
Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
View attachment 3148330