2025DG
JF-Expert Member
- Jan 30, 2023
- 520
- 1,498
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.
Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
- Michezo
- Mapenzi
- Siasa
- Mziki
- Usalama
- Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
- Chakula na mapishi
- Urembo
Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?