The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Nyie ndo mnamuogopa hana lolote yule.
Sina utaratibu wa kumuogopa mtu. Ila sihiraji kumwelewa Kila mtu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ndo mnamuogopa hana lolote yule.
Wewe ndiye unayempangia namna ya kuishi, huyo uliyemfungilia uziUnanipangia
Nimekuja.[emoji2][emoji2][emoji2]
GENTAMYCINE unaitwa huku
Kwa Ufafanuzi wako huu Kuntu nadhani Topiki hii au Mjadala huu ungeishia tu rasmi hapa.Huwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?
Mfano mleta mada,huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso
Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list
Kumekucha.Mimi nimefahamu kuwa yeye ndio wewe!
Ananitafuta ngoja nimnyooshe Mkuu.Uko tayari Kwa mashambulizi yake lakini? Usijekusema hatujakutahadharisha.
Sasa unataka umwelewe kitu Gani zaidi ya kusoma anachoandika ambacho nacho sio lazima usome au kutia neno?
Umefanya la maana na yangekukuta kweli.Natamani kuhabarisha umma kuhusu huyu mwamba ila naogopa sana maana mh yasijenikuta
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Mtoto wa kiume acha kujihami.Na nasikitika Moderators huwa wanapenda sana Kuziachia Threads ambazo zinaanzishwa kwa Mimi GENTAMYCINE Kutukanwa, Kudhalilishwa na Kushambuliwa Kutwa hapa kama ya huyu 2025DG hadi zinafika Page nyingi na nikiwajibu kwa namna yangu upesi sana napigwa BAN.
Inakera..!!
Cc: JamiiForums Founder Maxence Melo, Cookie, YinYang, Paw, Active, Moderator and JamiiForums
Ashakum si matusi lakini naomba unitake radhi maana siwezi kumchana yule ni kama mzee wangu namheshimu sana Genta .Mchane tu,hata kama upinde
Usinipangie maisha hii jf ya wote mama.
Au mihemko
Chochote utakachokiandika humu ni mali ya jamii yeyote anaweza kusomaUmeitwa ...
Si ulitaka Vita nami mbona sasa unaanza Kulialia? Nina PhD ya Kujibizana na Watu hata 100 kwa wakati mmoja na hakuna wa Kunishinda.Unakichwa kichafu Sana.
Nimekudharau.
Mwanaume usiye na hekima.