Kuna anayemuelewa GENTA

Kuna anayemuelewa GENTA

Awwwwww!! [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
NAKUPENTRAAAAA Sisy Shunie huna baya
Cuzoo yupi nikuitie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me nakupenda kinoma noma [emoji7][emoji7] Cuzoo wako GENTAMYCINE ila me kwakweli nampenda sanaaa
 
Kwa Ufafanuzi wako huu Kuntu nadhani Topiki hii au Mjadala huu ungeishia tu rasmi hapa.

Nami naongezea la muhimu...

ANGALIZO

Ukijijua tu kabisa kuwa humpendi / hunipendi GENTAMYCINE " hapa JamiiForums na unamchukia hata kutamani Afe na huvutiwi na Taarifa zake pamoja na Uwasilishaji wake wa Kipekee na usioweza Kuigwa na Yeyote yule kutokana na Upumbavu, Wivu na Uwendawazimu wako Uliokutukuka njia rahisi ni Kuachana nae ( nami ) na uendelee Kuwasoma na Kuwafuatilia hao unaowaona ni Bora Kwako na Unawakubali zaidi sawa?

Kitendo cha Kuonyesha Unanichukia na Hunikubali lakini bado tu 24/7 unawashwawashwa Kunifuatilia kama Jibwa Jike lililo katika Heat ( hali ya kutaka Kupandwa na Dume ) unaonyesha kuwa Unanikubali sana na kukubali uwepo wangu Uliotukuka hapa Jamvini.

Nimemaliza.

Cc: 2025DG
Professor naomba kuuliza... hivi wale wote walio-like hii kauli yako ni chawa wako?! 🤔🤔🤔
 
Duhh! Hii nakupenda umeiongea kishambenga 😄... Sema safi! Huna baya cute wife, nimejikuta na-fall in love na Avatar yako 😋🤤
Awwwwww!! 😍😍😍😍😍
NAKUPENTRAAAAA Sisy Shunie huna baya
Cuzoo yupi nikuitie? 😂😂😂😂
 
Duhh! Hii nakupenda umeiongea kishambenga [emoji1]... Sema safi! Huna baya cute wife, nimejikuta na-fall in love na Avatar yako [emoji39][emoji1786]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] imekusisimua? Bas na wewe NAKUPENTRAAAAA [emoji8][emoji182]
 
Location bado sijajua ngoja niwasiliane na naepigana nae kwanza

Lakini ni weekend hii [emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Swadaktaa atupe location asitucheleweshe
 
Back
Top Bottom