Kuna anayemuelewa GENTA

Kuna anayemuelewa GENTA

Huyu member anayejiita GENTAMYCINE (dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

Huyu bwana au mwanaume huyu.

Kila kitu anakijua yeye
michezo,
mapenzi,
siasa.
mziki
,usalama,
matukio yanayotokeakwa mwampoda
Chakula na mapishi.
Urembo.

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani nimeshindwa kumuelewa?
Ungemfata PM tu, kuliko kuzunguka zunguka
 
Jamii Forum imekua jukwaa la watu wanaopenda kulia lia na kufuatilia maisha yasiyowahusu, kutafuta umaarufu kwa kugombana na wengine.

Mtu akijua kila kitu inakupunguzia nini?
 
Uko tayari Kwa mashambulizi yake lakini? Usijekusema hatujakutahadharisha.

Sasa unataka umwelewe kitu Gani zaidi ya kusoma anachoandika ambacho nacho sio lazima usome au kutia neno?
Nyie ndo mnamuogopa hana lolote yule.
 
Sasa mtu akikupangia maisha si ni wewe tu na maamuzi yako kama ukubali kupangwa ama ukatae

Kama unaona ni ngumu,muweke kwenye ignore list...maisha ya humu sio magumu sana
Usinipangie maisha hii jf ya wote mama.

Au mihemko
 
Back
Top Bottom