Kuna anayemuelewa GENTA

Kuna anayemuelewa GENTA

Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

  • Michezo
  • Mapenzi
  • Siasa
  • Mziki
  • Usalama
  • Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
  • Chakula na mapishi
  • Urembo

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
Mleta mada, ni jana au juzi tu ulifungua uzi ukilalamikia kutopewa hela baada ya kufanya mapenzi. Leo unamlalamikia Genta kwa kujua kila kitu.

Je na wewe ulalamikiwa kwa kulalamikia kitu ?
 
Mleta mada, ni jana au juzi tu ulifungua uzi ukilalamikia kutopewa hela baada ya kufanya mapenzi. Leo unamlalamikia Genta kwa kujua kila kitu.

Je na wewe ulalamikiwa kwa kulalamikia kitu ?
Unataka nini kwani ?
 
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

  • Michezo
  • Mapenzi
  • Siasa
  • Mziki
  • Usalama
  • Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
  • Chakula na mapishi
  • Urembo

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
Naona GENTAMYCINE unajifagilia
 
Genta mwenyewe sasa
 
Attachments

  • 1691394002151.jpg
    1691394002151.jpg
    24.6 KB · Views: 2
Huwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?

Mfano mleta mada, huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso

Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list
Ungekuta siko kwenye penzi zito na mke wa jirani yangu lazima ningekuja PM tuyajenge.. umeongea point sana aisee. Beautiful Joanah
 
Back
Top Bottom