Kuna anayemuelewa GENTA

2025DG

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2023
Posts
520
Reaction score
1,498
Huyu member anayejiita GENTAMYCINE, dawa ya minyoo kila kitu anakijua yeye.

  • Michezo
  • Mapenzi
  • Siasa
  • Mziki
  • Usalama
  • Matukio yanayotokea kwa Mwamposa
  • Chakula na mapishi
  • Urembo

Yuko kila mahali na kila kitu mjuaji. Nilitaka kujua nani anamfahamu zaidi jamani, nimeshindwa kumuelewa?
 
Huwa najiuliza mtu akionekana kujua kila kitu humu inapunguza nini kwenye maisha ya anayeteseka?

Mfano mleta mada, huyo uliyemtaja akijua kila kitu unapungukiwa nini?mbona watu mna matumizi mabaya ya mateso

Ukiona mtu humuelewi muongeze kwenye ignore list
 
Inapunguza mengi sana mbona tunapangiana maisha
 
Mimi nimefahamu kuwa yeye ndio wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…