Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Nikiripoti kutokea kwenye kochi la shemeji. Saleem kikeke bbc
 
Fuatilia maisha ya ndugu zako
 
@mamndeyi hapa umeumiza, maneno makali sana haya
 
Kwan kawaambia anataka kufanya kaz shithole kantree? Mumekarr kufanya kaz mpk miaka 60 pumbavu. Kaz mpk miaka 60 ni umaskini
 
Mama ya kizungu imemtia stress bora angekomaa na kina sie mwajuma ndala ndefu
 
Mi nadhan ni ile homesickness ya mda mrefu, ameish kule UK akiwa upweke kwa maana ya watz wenzake
Halafu naona kama alikuwa anabanwa lkn now anaonekana kijan ila that time alikuwa kama mzee pale BBC
 
Tafuta kazi ya kufanya, huna akili, na sio tabia za wanaume rijali.
 
Shida amekaa Sana ugaibuni jamani maisha ya ulaya Yana upweke Sana na mifano ipo kwa ndugu zangu wako marekani na wanafanya kazi lakini wanachokwambia ulaya huwezi ukakuta watu wanapiga umbea au wamekaa kijiweni wanacheza drafti mda wote watu wapo bize na hakuna mda wa kutembeleana na kupeana umbeya na mtu wakati mwingine masaa 24 Yuko kazini akitoka nyumbani Sasa kuna maisha aliyakosa mda mrefu na Sasa anaona anainjoi na mifano ninayo kwa jamaa zangu walikuwa wamekaa marekani mda mrefu na maisha yako Safi wamerudi bongo na wanafanya biashara zao na asikwambie mtu ulaya maisha sio

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naona mwezi umeandama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…