Kuna anayemwelewa Salim Kikeke na 'Mizururo' yake Holela ya hapa na pale Dar es Salaam na Mikoani?

Style yake kama ya kwangu nilivyokuwa natoka boarding nikishaweka kibegi changu chumbani nakagua mkweche wa dingi kama uko sawa, tyres hazina pancha, breki, kengele na taa ziko sawa basi mi ni kupangilia ziara kila siku. Siku hii kwa shangazi, wajomba, mama wadogo, marafiki n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Uko sahihi,mwamba hasomeki kabisa siku hizi! Hata post zake zinatia shaka..dizaini kama anatumia kile kijiti! Sijui nani alimuambia aache ile midevu...
Sa KIJITI kimehusikaje Mkuu...... tuwe na heshima kwa Kijiti Jamaa angu.... next time jirekebishe..
 
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Mtu anatumia pesa aliyochuma Kwa jasho lake, hajavunja Sheria yoyote ya nchi, lakini Bado mtanzania anakereka
 
JAMAA:Why are you eating chemical foods?

CHILD:Because i love them

JAMAA:Stop them,those foods will make you die early

CHILD:But my grandmother has lived 111 years

JAMAA:She has lived so long by not eating chemical foods

CHILD:No,she was an expert at minding her own business.

"Usinishauri utanichanganya"-Alisikikia mlevi mmoja.
 
Kule UK wanapiga sana kazi,hakuna zuga zuga kama huku kwetu,naona hata vishavu sasa hivi vimemtoka,inawezekana yuko kwenye mapumziko kwa sasa,ila sidhani kama ndio itakuwa life style yake.Aftreall future yake iko bright sana kwa fani aliyonayo...
 
maisha ya kuzurula huku na kule anayoishi salim kikeke ndio mimi nayapenda na ndivyo ninavyoishi. traveling is something that makes me feel very comfortable and I love it.

nikikaa sehemu moja mda mrefu akili yangu inakuwa dormant, nahisi kupata onyonge, nakuwa mtu wa kisirani kiasi cha kupunguza ufanisi wangu wa kufanya kazi.

mimi ni domestic traveler, mizurulo yangu naipiga hapahapa nchini, ila sio mtu wa mitandao.

laiti kama ningekuwa mtu wa mitandao, watu wenye mitazamo hasi kama mleta mada wangenikoma kule instagram kwa picha nzuri ambazo ningekuwa nazi upload kwenye ukurasa wangu. honestly wangepasuka kwa hasira na wivu wao.

hii ni timeline yangu kutoka google map ikionyesha baadhi ya maeneo niliyozurula hapa tanzania mpaka sasa.
Unatembea sana kka mkubwa .
Ukifika tena Rwamishenye dispensary please join me to insult Satan at Kill time Bar.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hawa watu unafanya kazi UK kwa muda mrefu,badala ya kujiandalia mazingira ya kuishi huko forever unarudije kwenye siasa hizi za ccm ni ile ile strees?. Hajamuuliza au kujifunza kwa yule alichomolewa huko kwa kubembelezwa kuja kuiboresha TBC,mwisho aketemwa kama ganda la muwa na mashitaka juu?

Aah...! Lakini muda mwingine ukimuona anazurula au anacheza draft na wewe ukamuiga bila kujua mwenzio tayari kawekeza vyote vya uzeeni. Hapo unaweza kukuta ana apartment za kutosha hapo anakula maisha milele. Uwe makini. Fuata yako
Ughaibuni wanasema kuna upweke sana tofauti na huku.
Kikeke akiwa Ulaya ni wa kawaida tu ila akija bongo ni bonge la mtu, akiingia mkoani watu watataka wapige nae picha. Na yule mtangazaji mwenzie Zuhura alisema kule maisha ni ghali sana hasa hilo jiji la London.

Huku akiwa na M kadhaa anakula tu misele namna hiyo na bado ana uhakika wa ajira kwenye taasisi kibao bila hata cv.

Hata mimi Ulaya ningeenda kutafuta tu, life ningekuja kulia bongo kama jamaa alicyofanya.
 
maisha ya kuzurula huku na kule anayoishi salim kikeke ndio mimi nayapenda na ndivyo ninavyoishi. traveling is something that makes me feel very comfortable and I love it.

nikikaa sehemu moja mda mrefu akili yangu inakuwa dormant, nahisi kupata onyonge, nakuwa mtu wa kisirani kiasi cha kupunguza ufanisi wangu wa kufanya kazi.

mimi ni domestic traveler, mizurulo yangu naipiga hapahapa nchini, ila sio mtu wa mitandao.

laiti kama ningekuwa mtu wa mitandao, watu wenye mitazamo hasi kama mleta mada wangenikoma kule instagram kwa picha nzuri ambazo ningekuwa nazi upload kwenye ukurasa wangu. honestly wangepasuka kwa hasira na wivu wao.

hii ni timeline yangu kutoka google map ikionyesha baadhi ya maeneo niliyozurula hapa tanzania mpaka sasa.
Wewe ni kama Mimi,,sipendi kuwa na watu wale wale Kila siku
 
ww mwenyew una mitizamo ya ki ccmu , nan atakujengea kwenu?
Kweli wewe ndio ccm kabisa. Kujenga kwenu lazima uje wewe mwenyewe?. Labda ksbb wabongo mnapenda misifa,lazima uje mwenyewe utanue mabega wakuone. Umeiona Kenya ilivyijengeka Yale majumba,ni wakenya waishio ulaya
 
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Balance shobo. Alamsik!
 
Kweli wewe ndio ccm kabisa. Kujenga kwenu lazima uje wewe mwenyewe?. Labda ksbb wabongo mnapenda misifa,lazima uje mwenyewe utanue mabega wakuone. Umeiona Kenya ilivyijengeka Yale majumba,ni wakenya waishio ulaya
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiwa afrika huez ijenga afrika ? amka mkuu
 
Na hili ndo hufanya waafrica tufe haraka sana,wenzetu wazungu hukua mwili tu,lakini sisi,ni hukua mwili na akili,utasikia umri wako umeenda,usicheze mchezo huo tena,mara we ushakuwa mzee tulia nyumbani,yaani taifa halieleweki hili
 
Uko sahihi kimtizamo ila vipi kama ni plan yake baada ya kufanya kazi kama mwajiriwa kwa muda mrefu ametenga muda kidogo wa kupumzika na kuifuraisha nafsi yake atulize na akili
Na akiwa anajipanga kurudi mchezoni akiwa anajitegemea au ata akaajiriwa sehemu nyingine
 
Tokea arejee kutoka BBC Uingereza namuona ni kama vile anautaka Ujana ( Anajidogoza ), ana Mashindano ya Kula Bata na Mtu, kuna Umuhimu wa Kilazima kwa Jamii anataka Kujipa, ana Mchanganyiko ( Mseto ) wa Sifa na Ushamba fulani hivi, ni kama vile hajielewi na Kadata ( Kachanganyikiwa ) fulani hivi na Mtu ambaye hajui anataka kufanya nini sasa.

Ushauri wangu GENTAMYCINE Kwake ni kumuomba hebu atulize Kwanza Akili ( Kichwa ) na atafakari anataka kufanya nini Tanzania na kwa Watanzania kutokana na Exposure yake Kubwa kutoka kwa Wakubwa Waingereza kuliko nionavyo sasa na kama nilivyoelezea hapo juu.

Serikali hii Hazina Kubwa Salim Kikeke mnaiacha nini badala ya Kumtumia ili apunguze Mizururo yake ambayo ni kama vile naona inaanza kumpunguzia Credibility aliyonayo kwa Jamii husika ya Watanzania?

au nyie Watu wa Azam Media ( ambayo najua ndiyo pekee wenye Financial Muscles ) za Kumuajiri na Kumlipa Mshahara mkubwa na mnono Salim Kikeke kwanini msimchukue ili mtupunguzie hii 'Mizururo' yake hapa Mjini Dar es Salaam na huko Mikoani?

Ukiona GENTAMYCINE anakuchana ( anakusema ) hivi jua Anakupenda, anajua Potential yako, anaumia kuona Unavyopotea na anataka Ushtuke upesi, ujitafakari na ubadilike ili uendelee kuwa bora na ikiwezekana hata kuzidi ulivyokuwa mwanzo.

Salim Kikeke najua kabisa ( fika ) kuwa GENTAMYCINE Mimi sikufikii kwa lolote lile kuanzia Elimu, Hadhi, Uzoefu, Utajiri, Umaarufu, Pesa ( Mawokoto ) na Exposure, ila nakuomba yatafakari yote haya niliyokuandikia hapa kwani hata Mimi pia nina Utajiri mkubwa ambao ni Tunu / Shani yangu ya Maono, Upeo wa mbali, Akili Kubwa za Asili na Ushauri wa Dhahabu ambavyo nina uhakika huna na kamwe hutokuwa navyo hivyo basi yafanyie Kazi na ipo Siku hata Kimoyomoyo tu utakuja Kunikumbuka na Kunishukuru Nabii na Mtume wa JamiiForums Mimi.

Ninakukubali na nakutakia Mafanikio.
Golden people ndo zao kama humtumii anajichanganya Kila. Mahali unajua nn hata yeye hajui anafanya Nahisi kuna mtu kamlia Mingo amemtoa BBC Kwa ahadi halafu kaachwa manzese anitafute
 
Back
Top Bottom