Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Mwenzako Stephen Wasira alikuwa anawaza ujinga kama huu. Yeye alisema CHADEMA itakufa kabla ya mwaka 2013, lakini mwaka 2015 CHADEMA ikamchinjia baharini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayati Nelson Mandela alifungwa zaidi ya miaka 25 ANC iliimarika mara dufu Endeleeni kuota ndoto huku mnatembea kuwa CHADEMA itaanguka Misukosuko ya kununua Wabunge na Madiwani Kesi Mahakamani Viongozi Mahabusu kila Uchao lakini Chadema ipo imara.Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wapuuzi huwa hawajiulizi ni kwa nini kila hila wanayofanya ili CHADEMA isambaratike inashindwa na CHADEMA inazidi kuwa imara.Misukosuko ya kununua Wabunge na Madiwani Kesi Mahakamani Viongozi Mahabusu kila Uchao lakini Chadema ipo imara.
Wanadi hizo sera kwenye majimbo yao pamoja na kwenye kata..huko nako wamezuiwa..? Mpaka sasa hakuna hata mpiga kura wa kawe au kibamba mwenye nakala ya hizo sera.Humo mwenu mapunguani mko wengi sana. Watu mmewazuia kufanya shughuli za kisiasa, mnawaweka ndani hovyo !! lakini bado mnaona maluweluwe dhidi ya Cdm ?!
Mtu mwizi na mchawi hamuamini mtu yeyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana hata hao Madwani/Wabunge wa CHADEMA hawana hizo nakala wala hawajui Sera mpya za chama. Kwa kuwa mwenye chama ndiyo hivyo basi tena chama nacho kiko rumande!!!Wanadi hizo sera kwenye majimbo yao pamoja na kwenye kata..huko nako wamezuiwa..? Mpaka sasa hakuna hata mpiga kura wa kawe au kibamba mwenye nakala ya hizo sera.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani Chadema bado ipo ,mbona wakubwa wako walishasema imekufa ?Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe unaamini kabisa kuwa Mbowe akifungwa miaka 27 Chadema itaimarika mara dufu? Ha ha ha kalagabaho.Hayati Nelson Mandela alifungwa zaidi ya miaka 25 ANC iliimarika mara dufu...
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania siyo wajinga wanajua hakuna uhuru wa kufanya siasa wanafahamu Wapinzani wananyanyaswa sana hakuna Anguko lolote la chadema zaidi ya chuki dhidi ya CCM kuongezeka maradufuNi swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?
Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.
Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Rais atakuja na agenda yake ya kubadili kifungu cha katiba cha kinga ya waliopita na hapo ndio kina Jeska watakapo angua kilio na wao Kwa wayakayo shuhudia Kwa wazazi wao kama watoto wa wengine wanayo shuhudia sasaHuu unaenda mwaka wa 4 toka Magufuli aingie madarakani. Kaja na sheria zake za mfukoni ili kuiua cdm lakini imeshindikana. Saa hii ajenda kuu ya Magufuli, serekali na ccm kwa ujumla ni jinsi ya kuifanyia cdm hujuma ili Magufuli awe rais, na wagombea wa ccm watangazwe washindi hata wasiposhinda. Angalia cdm inapigana huku imefungwa mikono lakini bado ndio habari ya mjini. Madaraka ya urais tu ndio kinga pekee ya ccm lakini sio ushawishi kwa umma.
Watanzania gani au hao wachache, wenye uchu wa madaraka, wakitaka uhuru usio na mipaka wakidanganya kuwa Tanzania hakuna uhuru wa kufanya siasa!Watanzania siyo wajinga wanajua hakuna uhuru wa kufanya siasa wanafahamu Wapinzani wananyanyaswa sana hakuna Anguko lolote la chadema zaidi ya chuki dhidi ya CCM kuongezeka maradufu
Mbowe kajipeleka mwenyewe korokoroni baada ya kukiuka taratibu za dhamanaKichaa aka jiwe anapenda sana kitonga mdiyo maana kamweka ndani mbowe ili apate wepesi kwenye uchaguzi. Pamoja na mbowe kuwa ndani bado jiwe anaweweseka tu hata usingize hapati. Poor jiwe.