Tetesi: Kuna anguko kubwa la CHADEMA?

Tetesi: Kuna anguko kubwa la CHADEMA?

Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20190223_092422.jpg
IMG_20190223_092427.jpg
IMG_20190223_092442.jpg
 
Ni swali najiuliza kwa sauti, je, kuwekwa rumande kwa Mh Mbowe, M/Kiti wa CHADEMA, ni kiashiriyo cha anguko la CHADEMA?

Kwa mfano hakuna dalili za uhai wa Sera zilizonduliwa kwa mbwembwe kuwa zinajadiliwa na wapiga kura wakati Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uko mlangoni.

Au ndiyo tuamini chama ni Mbowe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Bk 7 zawafanya muandike hata njozi hewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nijuavyo Mimi
Watanzania wengi hasa wa hali ya chini hawana utamaduni wa kusoma vitabu, Ilani wala kuzijadili Sera za chama chochote kile hawana muda huo kabisa!.

Kwa sasa wamekata tamaa na wanachotamani ni kuiondoa CCM madarakani tu walau waangalie chama kingine mbadala kitafanya nini!!
Haijialishi upinzani kasimamishwa fisadi, mwizi au mwenye maadili, wawe na sera wasiwe na sera wanachotaka Ccm itoke kwanza madarakani!.

Hakika wameichoka sana CCM
Ndio maana walijitokeza kwa wingi kumpigia kura LOWASA bila kujali background yake.
Lakn wananyong'onyea zaidi pale juhudi zao znapokutana na bao la mkono mfano halisi ni hizi chaguzi ndogo zilizopita.

Ninachozani mimi, milango ikiendelea hivi hivi kufungwa hipo cku unyonge utawatoka na wataamua kutaka kuingia kwa kupitia madirishani.

Mungu ibariki Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom