kingundya JF-Expert Member Joined Apr 22, 2013 Posts 2,000 Reaction score 3,352 Nov 2, 2024 #141 Mwanadamu si kiumbe wa kukuwekea dhamana. Jamaa anasema anamridhisha mkewe kwa viwango vyote ila mbilingembilinge haziishi Mara ajilengeshe kwa vibe ten mara ajione anaweza kushindana na mabinti kupambana kumpata bosi wake
Mwanadamu si kiumbe wa kukuwekea dhamana. Jamaa anasema anamridhisha mkewe kwa viwango vyote ila mbilingembilinge haziishi Mara ajilengeshe kwa vibe ten mara ajione anaweza kushindana na mabinti kupambana kumpata bosi wake