Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza sisi huwa hatucheat🤣🤣🤣🤣🤣tuachane na hayo, uzoefu wako najua upo level ya chini sana.🤣
Nani ananitafuta?
Nani bwana weee....Kwanza sisi huwa hatucheat🤣🤣🤣
Naniliu🤪
🤣🤣🤣🤣🤣Nani bwana weee....
Mwambie anitafute acha zako!!
Sasa namjulia wapi mimi, nipe code basi babe!🤣🤣🤣🤣🤣
Kasema umtafute.
🤪🤪Sasa namjulia wapi mimi, nipe code basi babe!
Acha kubenjua midomo, sema nani huyo?
Haichukui nafasi ya daktari.Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?
Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)
Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?
Nawasilisha
Hao ndio wanawake sasaSi ajabu akakuzoea na akatafuta wa kumpa msisimko mpya
Vyema kupata uzoefu wa Wazee wenu 🤗Babe si nimekwambia nilisoma humu jf, akina babu Grahams wakitoa maujuzi🤣🤣
Shindikana katika ubora wako!Vyema kupata uzoefu wa Wazee wenu 🤗
Pamoja na kwamba tumezeeka lakini still tunamisi kuitwa hayo Majina mazuri
Imagine upo Kwa bed unajitahidi kumpeleka baby wangu kilele cha Mlima Kilimanjaro, na anakupa morale Kwa kukuita hayo Majina
"Baby hard..... Take it all honey...."
Bora tumezeeka sasa 😜
Kuweni na imani na Wazee Mjukuu 🤗Shindikana katika ubora wako!