Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Ukitaka kumridhisha mwanamke kwa kila kitu ili asicheat utakufa kabla ya siku zako. Wana cheat hata kwa sababu za kijinga hata kama wanapata kila kitu.

Wanaume tujifunze kujijali kwanza then hao viumbe wengine vinginevyo hii dunia itakushangaza. Tunza mke na watoto ila wewe kwanza. Girlfriend mpe pesa au huduma ambayo hautajuta mkiachana.
 
Ishini nao kwa akili, mwanamke hauwezi kumuelewa na hakuna mwanamke asiecheat , wanawake wote wanacheat lakini hutofautiana level ya kucheat na usiishi ukizui eti mwanamke asicheat utajidanganya bure wewe ishi nae unaviweza ikishindikana temana nae tafuta mwingine nae aendelee na mwingine
 
Siko mbali kuna mchangiaji mmoja kazungumza kitu kimoja "binadamu tunatabia ya Kuchoka ya kukinai kile kitu ambacho tu nakutumia Kila siku"

Nikupe testimony nilikuwa na mpenz wangu tulikuwa tunafanya mapenz Ata mara tano kwa siku😂siku moja akaniambia "nimekinai akaongezea jitahidi uwe unakaa Ata mwez ndo unakuja kunitembelea" mimi nikapuuzia kilicho Kuja kutokea itabaki stort mkuu🙄
Hata kwa mke hupaswi kuwa available 24/7 ndoa haitadumu
 
Labda demu wako anataka ajaribu kutumia Misumari ya kampuni nyingine?
 
Mbona kuna wanawake wamesema huko juu kwamba na wanawake nao wanapata hisia za kucheat kama wanaume?

Jibu lako naliona zaidi lina ukweli kwa wanawake ambao hawakuwahi kuwa na mahusiano hapo kabla, kwamba inakuwa ni ngumu sana kushiriki mapenzi nje na mume au mpenzi wake regardless of anything
Mkuu acha kujidanganya hivi unajua hata malaya nao waliwahi kuwa bikra 🤔, unapoteza muda kuuliza uliza maswali ambayo hatakusaidia chochote, hakuna unachoweza kufanya ili umzuie mwanamke wako asiku cheat, Maamuzi atafanya yeye mwenyewe full stop 😡
 
"Hili ni swali ambalo wanaume wapumbavu wanalitafutia majibu"

Mwanamke anatoka nje ya ndoa sababu ajiheshimu, hii sio miaka ya kufuatana na wanawake, ni kufanya vizuri kama Baba kila eneo lako, wakiamua kutoka nje wewe Fanya sala basi na lea watoto!
Totally agreed, 💪🏻
 
Ukimwaga mboga tunamwaga ugali........
Hamuogopi kukitmbesha ovyo, yaani leo anakuweka Ali kesho anakuweka John, huoni kama sio sawa, unaongeza body count na kuchakaza maumbile?
 
So kama hakucheat ina maana hakuna sababu itakufanya umcheat sio?
Siwezi kabisa jaman.....ila akinicheat nikiona nimeshindwa kumvumilia na kuondoka siwezi nacheat na yeye siyo kwamba namkomoa au nalipiza kisasi noooo.....natafuta furaha aisee kwenye maisha usisahau kuishi, mwanamke ukiona mmeo anachepuka una uchungu moyoni usiovumilika chepuka na wewe hata mara tatu tuuu utapata relief yaan utajikuta maumivu kidogo yanapungua halafu utarudisha thamani yako maana ukiishi na mme malaya saana unaweza acha kujioenda kwa kujihisi una mapungufu chepuka uone wa nje wanasemaje mamaeee
 
Do
Unapoaje jaman....kwa hiyo mkituoa mnahisi hatutaki raha mnazowapa michepuko?? Teena tunazitaka sana kwa taarifa yenu!!
Don't cheat on him, hata kama yeye hajatulia.
 
Ni mwendo wa kula tuu......
Unakula mara moja...
Anaanza kufunga virago kabisa et oooh mimi mume wangu anafanya kazi usiku.
Mara mume wangu kisu chake butu.....

Ni kula tuuu 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom