Kwa ufupi tangu dunia imeumbwa hakuna aliyewahi kupata jibu, ingawa kwa kupanua uelewa wanawake hubadilika kila wakati, akiwa na asiye na pesa na anamridhisha kitandani atatafuta mwenye pesa ambao mara nyingi hawako romantic na hawana muda wala utaalamu on bed, atahitaji pia handsome wa kushow off nae, hakuna mwanaume mwenye vyote, pesa, mtaalamu kitandani, romantic, mbembelezaji, mwenye muda, handsome nk na ndio sababu kubwa ya kuwa dynamic. Kibaya zaidi mwanamke anaheshimika kwao kama mchango wake kipesa ni mkubwa hata kama ni wa mwisho kuzaliwa, hapo ndio Tatizo la usaliti utaona ni gumu kutatulika