Hakuna formula kwenye hili eneo. (Rejea ya Manara, Mwaka na Masanja)
1.Akiwa mama wa nyumbani, ukiona safari za vikoba zimeanza kila siku,mpaka usiku, (UKIONA MANYOYA JUA........)
2. Akiwa mfanya kazi, Aisee kuna watu wako romantic kwa wake za wenyewe huko maofisini. (SEMINA, SEMINA ELEKEZI, WARSHA MAKONGAMANO, SAFARI ZA KIKAZI NDIO ZAMU YAO WADAU KUTUMIA MKE WENU)
3.Akiwa Mfanya biashara, we anza kufika na kusifi sifia biashara yake. anza kuacha acha chenji, hawa ndio wale unasikia nilianza bishara na mtaji wa Elfu kumi. sasa hivi nina miliki milion sitini benki! 😀 (UNYUMBA NI MTAJI)
4. Akiwa mtu wa maombi na maombezi, aisee hawa unapiga muda wowote huku ukimshukuru Mungu mke wako ni mwna maombi. Kujua vifungu na nukuu za biblia sio sbb ya utakatifu. Mathayo 7:21-23. (USISAHAU ROHO MTAKATIFU ANAISHI ROHONI, SIO KWENYE KICHWA CHA CHINI.)