Kuna asilimia ngapi za mwanamke kucheat ikiwa anaridhishwa ipasavyo kitandani?

Mfano kwangu mimi labda niseme naweza muona mwanamke mzuri ameumbika nikajikuta ghafla nimetamani kumla.. sasa unataka kuniambia na nyie wanawake mnavutiwa na wanaume wazuri kama sisi tunavyovutiwa na wanawake wazuri??

Mi sitaki kuamini hivo, nahisi wanawake mna vipaumbele vyenu vya tofauti na mimi sipendi kuwaweka kwenye mizani moja.
Hivo hivo unamuona mtu mzuri unatamani akukule
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Mwanamke haridhiki labda aamue kukuheshimu. Ukimkuna vzr, atatamani mwenye pesa. Ukimuhonga sana atatamani showshow
 
Ni kweli na kama hilo suala ni jipya duniani bhasi wanawake wasingekeketwa enzi hizo ili kuwaondolea hamu na ladha ya tendo la ndoa kiasi cha kutoweza kucheat.

Kwa hiyo toka enzi na enzi, mtu akishaweza kuwa na mahusiano mengi kabla ya ndoa inamaanisha anakuwa analinganisha alicholipata, anachokipata na ambacho anaweza kukipata kama ataingia tena mjini.

Kwa hiyo binadamu wa aina hiyo ni kiasi cha kujituliza kwa kuridhika na anachokipata
Ukimpa vyote hapo juu, ataona unamkamia sababu ya pesa na ubabe kitandani. Atatafuta mwingine
 
"Hili ni swali ambalo wanaume wapumbavu wanalitafutia majibu"

Mwanamke anatoka nje ya ndoa sababu ajiheshimu, hii sio miaka ya kufuatana na wanawake, ni kufanya vizuri kama Baba kila eneo lako, wakiamua kutoka nje wewe Fanya sala basi na lea watoto!
 
Unadhani bado upo kwenye dunia ambayo sex ni mwiko kwa mwanamke kabla ya ndoa. Pole sana

Nikusaidie tu. Binadamu haridhishwi, Ila anaamua kuridhika na kutosheka

Binadamu hatulizwi, Ila anajituliza

Kwa hiyo kama bado unafikiri kuwa fundi na kutoa pesa umemaliza. Pole sana kwa sababu binadamu yoyote ana tabia ya kukinai na kukichukulia poa kile anachokipata daily. Hivyo kiu ya kupata kitu kipya au tofauti huwa ni kawaida sanaa

Kwa hiyo ni kheri hata wenye hofu ya Mungu au wenye upendo mkubwa kwako watajizuia.. Ila wengine mkuu, hesabu maumivu
Walau unahoja mkuu (kweli kabisa mwadamu haridhishwi isipokuwa anaamua mwenyewe kurithika na pia mke kuchepuka inategea hofu ya Mungu alonayo na anamuheshimu MUME wake kiasi gani....
 
Unadhani bado upo kwenye dunia ambayo sex ni mwiko kwa mwanamke kabla ya ndoa. Pole sana

Nikusaidie tu. Binadamu haridhishwi, Ila anaamua kuridhika na kutosheka

Binadamu hatulizwi, Ila anajituliza

Kwa hiyo kama bado unafikiri kuwa fundi na kutoa pesa umemaliza. Pole sana kwa sababu binadamu yoyote ana tabia ya kukinai na kukichukulia poa kile anachokipata daily. Hivyo kiu ya kupata kitu kipya au tofauti huwa ni kawaida sanaa

Kwa hiyo ni kheri hata wenye hofu ya Mungu au wenye upendo mkubwa kwako watajizuia.. Ila wengine mkuu, hesabu maumivu
Walau unahoja mkuu (kweli kabisa mwadamu haridhishwi isipokuwa anaamua mwenyewe kurithika na pia mke kuchepuka inategea hofu ya Mungu alonayo na anamuheshimu MUME wake kiasi gani
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Kwani umefunga nae ndoa!?
Kama hujamuoa mtu,kila mmoja ana uhuru wa kula/kuliwa popote.
 
Siko mbali kuna mchangiaji mmoja kazungumza kitu kimoja "binadamu tunatabia ya Kuchoka ya kukinai kile kitu ambacho tu nakutumia Kila siku"

Nikupe testimony nilikuwa na mpenz wangu tulikuwa tunafanya mapenz Ata mara tano kwa siku😂siku moja akaniambia "nimekinai akaongezea jitahidi uwe unakaa Ata mwez ndo unakuja kunitembelea" mimi nikapuuzia kilicho Kuja kutokea itabaki stort mkuu🙄
Kilitokea nini mkuu?
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Nikusanue tu mjomba angu.
Mwanamke hata umnunulie iphone 15 lakini akitokea msela akanunulia bando la mwezi Amin nakuambia atapewa utelezi haya kwenye gari lako ulilo mnunulia huyo ndo ataonwa wa mhimu zaidi.

Hata umnunulie gari mpya yaani zero km msela akimwekea full tank tu kwisha habar yako. Kwa mifano hiyo bila shaka utakubaliana Nami kugongewa kuko palepale.

Dobi anaweza kula mzigo Kwa kunyoosha nguo vzr tu Tena ulizonunua wewe Kwa gharama kuubwa.

Kama hiyo haitoshi anaweza toa mzigo Kwa msela kisa tu anapenda utani utani sana.
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Kwa mwanamke atakupenda kama utampa malazi, watoto, pesa, that's 99.9%. Kumridhisha that's only 0.1%. Bisha uone!
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Hawa akili yao wataalam washasema haieleweki na hawajui wanataka nini hasa.
Anaweza kucheat na mtu kisa ananukia perfume nzuri tu.
 
"Hili ni swali ambalo wanaume wapumbavu wanalitafutia majibu"

Mwanamke anatoka nje ya ndoa sababu ajiheshimu, hii sio miaka ya kufuatana na wanawake, ni kufanya vizuri kama Baba kila eneo lako, wakiamua kutoka nje wewe Fanya sala basi na lea watoto!
Na hii nayo ni hoja mkuu
 
Hili ni swali ambalo wanaume tumekuwa tunalitafutia majibu kutoka kwa wanawake. Mfano, kwa mwanamke ukiwa kwenye relation na mtu ambaye anakuridhisha sana kitandani, ni sababu ipi inaweze kupelekea uka cheat mbali na wewe kuridhishwa kimapenzi?

Nikiweka other factors constant, mfano kama mpenzi wako pia amekuwa na uwezo wa kutatua changamoto zako za kifedha japo sio zote (mwanaume mwenye uchumi wa kawaida kukuhudumia shida zako walau kwa asilimia 55)

Mtu wa namna hiyo, kuna asilimia ngapi za wewe kuweza kumcheat na sababu inakuwa ni nini haswa?

Nawasilisha
Ya MUngu mengi....unaweza kumridhisha mbele akaogopa kukujuza MPALANGENI hivyo akachepuka...
 
Back
Top Bottom