Hello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.
Madhara yanaweza kuwepo.. Japo hayawez kuonekana kwa haraka
Kwanza inategemea ni aina gani ya matunda ambayo unakula kwasababu mwili unahitaji virutubisho ili uweze kufanya kazi vizur.
kama mchanganyiko wa mtunda unayokula unakupa virutubisho karibu vyote then sio rahis kupata madhara yatakayoonekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba usiugue mkuu,Kuna Dada tulikuwa tunafanya naye mazoezi gum, alitumia matunda na mboga na maji. Alipitiwa na malaria kidogo, alishiia kulazwa kwa mikocheni hospitali,kila chakula ni muhimu maishani mwetu. Tatizo ni quantity na mda unaokitumia kama metabolism ipo juu au chini.pia miili ya watu ina respond tofauti na hizo dietHello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.
Omba usiugue mkuu,Kuna Dada tulikuwa tunafanya naye mazoezi gum, alitumia matunda na mboga na maji. Alipitiwa na malaria kidogo, alishiia kulazwa kwa mikocheni hospitali,kila chakula ni muhimu maishani mwetu. Tatizo ni quantity na mda unaokitumia kama metabolism ipo juu au chini.pia miili ya watu ina respond tofauti na hizo diet
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiogope...fanya diet ila sio ya matunda tu mwezi mzimaDuh aseee umenifanya niogope km ni hatari zaid bas itabid nifanye mbinu mbadala tuu mkuu nisije pepesuka km huyoo 🧐
Sawa Dr. JoanahUsiogope...fanya diet ila sio ya matunda tu mwezi mzima
Changanya na chakula hata kama ni michemsho ya ndizi bila kuweka mafuta
Kama una shida ingine ya kitabibu usisite kunicheki Dr wako nipo hapa 24/7 😅Sawa Dr. Joanah
Sawa Dr. Ila usije ukakosea kama siku ile ukanifanyia operesheni kwenye kichwa cha chini badala ya cha juu...Kama una shida ingine ya kitabibu usisite kunicheki Dr wako nipo hapa 24/7 😅
Hilo tatizo kidaktari tunaliita Alzheimer's ambalo Dr wako hapa linanitokea mara kadhaa...ni bora wewe nilikufanyia hivyoSawa Dr. Ila usije ukakosea kama siku ile ukanifanyia operesheni kwenye kichwa cha chini badala ya cha juu...
Ahahahaha huna maana kabisa. Huwezi nichekesha namna hii mpaka nimepaliwa na K Vant...Hilo tatizo kidaktari tunaliita Alzheimer's ambalo Dr wako hapa linanitokea mara kadhaa...ni bora wewe nilikufanyia hivyo
Kuna mmoja juzi hapa nimesahau mkasi tumboni
una uzito kilo ngapi mkuu, na urefu wako ni sentimita ngapi? nataka nikushauriNimejarib kufikilia kufanya hili yaan kuacha kula msosi kabisa kwa mwez mzima yaan hata ikitokea bas ni maziwa fresh tu au supu ya samaki mara moja moja sana je bado kutakua na madhara km usemayo kwani? Maana uzito wangu ni mkubwa sana mkuu.... sasa nataka nianze huu mfumo nione km tapungua au lah? Ila madhara ya moja kwa moja je hayatakuepo hapo
Hiyo ni diet nzuri sana na unapungua vyema huku ukipata vitamini za kutosha. Nimepunguza kilo 12 kwa kufanya hivyo.Hello wadau... Je ni kweli kwa kushindia kula matunda na maji bila kula chakula chochote, kwa mwezi mzima kunaweza kushusha uzito na kupungua unene? Na je kutakua na madhara gani labda yanayoweza kujitokeza kwa kufanya hivi? Itakua vema kwa watalaam wakitujuza hili tusiojua.
Nimejarib kufikilia kufanya hili yaan kuacha kula msosi kabisa kwa mwez mzima yaan hata ikitokea bas ni maziwa fresh tu au supu ya samaki mara moja moja sana je bado kutakua na madhara km usemayo kwani? Maana uzito wangu ni mkubwa sana mkuu.... sasa nataka nianze huu mfumo nione km tapungua au lah? Ila madhara ya moja kwa moja je hayatakuepo hapo
Usiogope...fanya diet ila sio ya matunda tu mwezi mzima
Changanya na chakula hata kama ni michemsho ya ndizi bila kuweka mafuta
Hakuna shida yoyote, mbona mwezi wa Ramadhani watu wanafunga mwez na wapo fresh tu
Sent using Jamii Forums mobile app[/
Je wao wanapofanya hivyo huwa pia uzito upungua lkn?
Kimsingi asubui kunywa maji mengi labda na uji kikombe kimoja kidogo, mchana kula lunch kidgo sana alafu usiku kula matunda kadhaa na maji. Ndan ya mwez mmoja utakuwa umekata kilo za kutosha.
Sent using Jamii Forums mobile app