Kuna athari gani kwa kula matunda na maji peke yake tu kwa muda mrefu?!

Hiyo laki 3 ya kununua c9 clean bora niache tuuu nijipange na diet yang kama kawaida mkuu hilo jambo zito kwa uchumi huu

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nliamua tu ninunue maana mazoez uvivu na diet siwezi
 
-1.Mwili wa binadamu unataka balance diet
-2.kunenepa au kuwa na kidole tumbo(kitambi) ni alarm kuwa UNAZIDISHA na ziada inapelekwa store ndiyo hiyo minyama uzembe.
3.maji na matunda hayawezi toa the required calorific value kwa kiumbe hai
 
Bro issue siyo chakula ni KIASI!!!!!!
 
Usitoleee mfano mwezi mfukuto wa ramadhani aisee watu wanakula Sana halafu mchana wanazuga zuga kulala tuu misikitini. Usiku wanafukia kunakotukuka misosi ya Bure Bure wasoifanyia kazi!

Unamaanisha nini mkuu
 
Usipokula wanga na protini mwili utakosa nguvu na kudhoofu misuli
Kula aina za vyakula ila kiasi kidogo
Mfano asbh....warm water mix na asali ikupe nguvu...endelea kunywa maji
Sa 4/5 kula matunda
Mchana lunch...ugali samaki mboga au mchemsho mradi iwe balanced diet..punguza wali na vya kukaanga
Sa 11 mtindi au nuts
Usiku matunda na maji
Lazma upungue
 

Okey nimekupata mkuu shukrani sana
 
futi 6.5 uref,kilo 62 boss mara ya mwisho kupima ni last two months

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba huu ni uongo wa jua jeupe.... kilo 62 kwa futi 6.5 ni uongo mkubwa utakua kama chelewa... wewe una utapiamlo unless hujui maana ya futi.... una urefu karibu na Hashimu uwe na kilo 62😂.... We una utapiamlo
 
Mzee baba huu ni uongo wa jua jeupe.... kilo 62 kwa futi 6.5 ni uongo mkubwa utakua kama chelewa... wewe una utapiamlo unless hujui maana ya futi.... una urefu karibu na Hashimu uwe na kilo 62[emoji23].... We una utapiamlo
we ndo unazingua boss nina lbs 148.0 hizo ki kg ngapi?? hiyo 62 kg ni mara ya mwisho kupima umetumia vigezo gani kunipinga, kwa kutumia BMI nipo right

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilitumia mboga za majani, matunda na uji wa ulezi mwezi mzima...nilinyooka kama rula!...but sikuugua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…