Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ukweli bado vijana wengi tuna dhana ile tunaamini mwanamke ambaye hakuombi hela ndo anafaa kuwa mke sasa limeibuka wimbi kubwa la wanawake wapiga mizinga ukisikiliza maoni ya vijana wanasema wanawake hawa ni hit and run hawafai kuolewa.
Sasa nimeamua kuleta mada ili tupeane uzoefu kwa wanaume waliooa wanawake niliowataja hapo juu kuna vitu anataka nijue.
Kuna uwezekano mwanamke kama huyo akawa ni wife material ? .Akakuvumilia na atakuheshimu ata pale endapo utakuwa umeyumba.
Endapo utamshirikisha mipango yako Inawezekana kweli anaweza akaacha tabia ya ubinafsi na tamaa anaweza akawa mshauri mzuri wa pesa zako au miradi yako.