Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Naomba tuishie hapaMwenzio anataka sponsor we unajifanya mume
Kila nilipokuwa nataka kujaribu kuweka ndani nilikuwa naishia njiani kwa hofu mbeleni isijekuwa tatizo ndo mana nimeleta hapa tupeane uzoefuWewe unaona wanaosema wanawake wanaopiga vizinga hawafai watakuwa wanadanganya ? wewe kama unahisi wanaongopa fanya chukua mmoja weka ndani tuletee mrejesho.EXPERIMENT IS BETTER THAN THEORY
nakwambia usijeoa mwanamke mbinafsi hata itokee nini,kwenye vigezo vyako vya kuangalia mke kitu cha kwanza asiwe mbinafsi.hii kwa sababu mpaka mtu aitwe mbinafsi lazima atakuwa na tabia hizi. 1.rohombaya. 2.utapeli. 3.usaliti/mnafiki 4.fitina. 5.unyonyaji. 6.visasi. 7.pia anaweza kuwa mchawi fulani(mshirikina) Nakwambia hivi kwa sababu demu anayependa pesa kiasili ni mbinafsi sana.sasa kama wewe unaweza kuoa mke mwenye tabia hapo juu nakudhani utambadilisha binafsi nimeshakupa ukweli wa mambo ni wewe uchague kusuka au kunyoaKila nilipokuwa nataka kujaribu kuweka ndani nilikuwa naishia njiani kwa hofu mbeleni isijekuwa tatizo ndo mana nimeleta hapa tupeane uzoefu