Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

xtaper

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
3,319
Reaction score
4,701
Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu.

Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha mkuu sasa utawashaje switch bila funguo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nimesema za siku hizi

Gari zinabadilishwa kila mwaka na kuna vitu siku hizi zinakuja kwenye gari kama standard
Hapo mimi nimeongelea gari za sasa
Hapo chini picha inaonyesha start and stop engine huhitaji kuchomeka funguo
20180902_104912.jpeg
20180902_104854.jpeg


Sent from my SM using Tapatalk
 
Haina madhara yoyote
Gari za siku hizi funguo unakaa nayo mfukoni tu na ukigusa button unawasha gari
Funguo inakuwa ya kufungukia milango tu

Sent from my SM using Tapatalk
Hata milango hufungulii na funguo ni mwendo wa kubonyeza button ya kitasa tuu!

Tunapokwenda gari itakuwa tunaendesha na password tu no need for keys!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom