Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Unazungumzia gari gani kwanza? Coz mfano mimi hata ufunguo huwaga sometime sijui nimeweka mfuko gani wa mkoba[emoji15] [emoji15], so natekenya starter natelezaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa yeye anaulizia kuendesha baada ya kuchomoa funguo. Push to start switch funguo inachomekwa wapi? Ye nadhani anazungumzia gari za kuwashwa kwa funguo za kuchomeka

BTW naomba lift kwenye hako kaVitz kako.... hahahah LOL natania usije ukanichamba kama Shunie anavyonichambaga
 
Mmmmh hizo old model ni za kuendesha funguo ikiwa ndani kwa ndani ukitaka kuuchomoa hauchomoki unless uzime!

Vitz? Me mwenyewe vitz hata lift ukinipa sitaki bora nitembee na mguu[emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaahha nimchukue jumla ama
Ntamtumia ticket kama atapenda hata holiday ya siku tatu hata Venice Italy maana ni sehemu tulivu na very romantic

Sent from my SM using Tapatalk
Duuuh.... mi nilidhani wa kupiga nae soga tu coz yy mtu wa kupenda stories na wabongo waishio nje!....anyway ngoja nikukoneckti nae mtajijua wenyewe bana![emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom