Sasa yeye anaulizia kuendesha baada ya kuchomoa funguo. Push to start switch funguo inachomekwa wapi? Ye nadhani anazungumzia gari za kuwashwa kwa funguo za kuchomekaUnazungumzia gari gani kwanza? Coz mfano mimi hata ufunguo huwaga sometime sijui nimeweka mfuko gani wa mkoba[emoji15] [emoji15], so natekenya starter natelezaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza kuchomoa funguo baada ya gari kuwasha na likaendelea kuchapa kazi?Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu.
Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah kwangu inakubaliunaweza kuchomoa funguo baada ya gari kuwasha na likaendelea kuchapa kazi?
Mmmmh hizo old model ni za kuendesha funguo ikiwa ndani kwa ndani ukitaka kuuchomoa hauchomoki unless uzime!Sasa yeye anaulizia kuendesha baada ya kuchomoa funguo. Push to start switch funguo inachomekwa wapi? Ye nadhani anazungumzia gari za kuwashwa kwa funguo za kuchomeka
BTW naomba lift kwenye hako kaVitz kako.... hahahah LOL natania usije ukanichamba kama Shunie anavyonichambaga
Unauliza swali au ndo umejibu?unaweza kuchomoa funguo baada ya gari kuwasha na likaendelea kuchapa kazi?
Kauliza swali linalohitaji swali ili upate jibu. Eti Witie, unaweza kunya bila kukojoa?Unauliza swali au ndo umejibu?
Mtanzania ni swali juu ya swali kabla ya majibu[emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Almost 30 years
Basi kama inakubali hakuna madhara. Piga gia, kanyaga lami!
Mungu wangu! Ngoja nikauze hii bajaji yangu!Mmmmh hizo old model ni za kuendesha funguo ikiwa ndani kwa ndani ukitaka kuuchomoa hauchomoki unless uzime!
Vitz? Me mwenyewe vitz hata lift ukinipa sitaki bora nitembee na mguu[emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
NdioKauliza swali linalohitaji swali ili upate jibu. Eti Witie, unaweza kunya bila kukojoa?
Ntakutafutia shost angu ana mizuka na swagaz za watu wa mbelez...Almost 30 years
Sent from my SM using Tapatalk
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee jamaa charming sana!Mungu wangu! Ngoja nikauze hii bajaji yangu!
Nimekoma kuringishia watu na bajaji bhana. Acha nijipigepige nitoke na japo ka Passo ... miguu minne si sawa na mitatu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...wee jamaa charming sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajaji wapi wewe! Haaahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekoma kuringishia watu na bajaji bhana. Acha nijipigepige nitoke na japo ka Passo ... miguu minne si sawa na mitatu
Hahaahha nimchukue jumla amaNtakutafutia shost angu ana mizuka na swagaz za watu wa mbelez...
Sent using Jamii Forums mobile app
"The car I drove now" ???The car i drove now is keyless
Sent from my SM using Tapatalk
Sorry common mistakes on typo"The car I drove now" ???
Asalalee!
Mi mwenyewe napita mbali nawachungulia wenye magariTusio na hata baiskeli tupite maana hata lift hatupewi [emoji58][emoji58][emoji58][emoji58][emoji58]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh.... mi nilidhani wa kupiga nae soga tu coz yy mtu wa kupenda stories na wabongo waishio nje!....anyway ngoja nikukoneckti nae mtajijua wenyewe bana![emoji23] [emoji23]Hahaahha nimchukue jumla ama
Ntamtumia ticket kama atapenda hata holiday ya siku tatu hata Venice Italy maana ni sehemu tulivu na very romantic
Sent from my SM using Tapatalk