Kuna athari yoyote kuendesha gari bila funguo?

Duuuh.... mi nilidhani wa kupiga nae soga tu coz yy mtu wa kupenda stories na wabongo waishio nje!....anyway ngoja nikukoneckti nae mtajijua wenyewe bana![emoji23] [emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa natania tu mwenzangu by the way nina watoto wakubwa tu ambao wapo chuo


Sent from my SM using Tapatalk
 
Jibu sahihi ni hapana; huwezi kuendesha bila ufunguo kwa sababu hutaweza kuliwasha na kuanzisha njia zote za umeme unatumika ndani ya gari.

Kuna ufundi wa kuvuta waya tatu kutoka kwenye engine compartment kwa kupitia kwenye firewall ambazo unaweza kuzinganisha ukiwa ndani ya gari na hivyo kuliwasha na kuliendesha; hiyo ni njia haramu ya kuweka ufunguo, ukifanya hivyo, hata kama inaonekana kuwa hakuna ufunguo, ukweli ni kuwa umeweka ufungua kwa njia ya mkato ya kuunganisha waya hizo. Kuanzia mwaka 2010, magari mengi yanatumia wireless keys ambazo dereva anakuwa nazo mfukoni ila kuliwasha anabonyeza kitufe tu ndani ya gari na kuanza kuendesha. Ingawa inaonekana kama vile hakuna ufunguo, ukweli ni kuwa kuna ufunguo ambao umeunganishwa kwa wireless. Dereva lazima awe na ufunguo huo mfukoni.

Jibu la mwisho ni kuwa Huwezi kuenedsha bila ufungua, ingawa ufunguo wenyewe unaweza kuwa ni physical au virtual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…