Hahahaaaaaaaaaa!Mkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
Nasubiri jibu kutoka kwake,yeye ndio Dida KukuMtamu?Hivi nyie GT hamjamfahamu tu Sukari yenu, anatangaza biashara huyo.
Jf ni burudani tosha.Mkuu, mtoa mada Nadhani anazungumzia uchi wake yeye mwenyewe na sio uchi wa mnyama.
mbona nilisikia popobawa alishakufaga?
Popobawa ulikuwa mradi wa mtumbona nilisikia popobawa alishakufaga?
Popo bawa ndio tatizo mjini hapaWasalaam,
Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.
Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.
Am a gentleman so far!
OLE WAKO NGE AKATIZEAre u ok?
Wasalaam,