Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Kuna athari zozote za kiafya ninaweza kupata kwa kulala utupu

Hivi nyie GT hamjamfahamu tu Sukari yenu, anatangaza biashara huyo.
 
😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛😛 😛 😛 wewe kama hujui kuna watu wanapita usiku wewe
 
Mashoga ni ma janja kujitangaza biashara zao yani huwezi kuwashtukizia hadi umize sana kichwa!!!

1)Jamaa anajiita Sugar

2)Analala akiwa mtupu (uchi)

3Anajifunika shuka jepesi (kanga moja ndembe ndembe)

4)Halali na mtu

Mwanaume inakuwa na ujasiri wa kusimama mbele ya kadamnasi na kuongea maneno kama hayo!!
 
Wengi mnazunguuka..tuseme tu kwamba mtoa mada ni PUNGA...yaani wanatwanga..Hata the way alivyooandika anaonekana kama amekalia kitu chenye ncha kali
 
Wasalaam,

Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.

Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.

Am a gentleman so far!
Popo bawa ndio tatizo mjini hapa
 
hakuna madhara kabisa na kama yapo nadhan mimi ningekuwa nimeyapata mengi sababu nikifika tu home na chochoa nguo zote naamaanisha zote najitembeza mtupu napika mtupu nafanya usafi mtupu yani mtu ukinichungulia dirishni unaweza dhani nawanga aiseee.. naogopaga incase vibaka wakaja ndiyo itakuwa issue
 
Wasalaam,

Mwenzenu siku hizi napenda kulala mtupu (uchi) kabisa. Najifunika kashuka kepesi tu basi murua mpaka asubuhi. Siku hizi ni majira ya joto basi nikivaa hata kiboxer tu naona kinanikera yaani full joto siwezi kabisa.

Good enough silali na mtu (shemeji yenu tunaonana weekend tu) but am so eager to know kuna athari zozote kiafya or namna nyingine? Suala la usiku huenda itatokea emergency sijalitilia maanani hapo.

Am a gentleman so far!

Yani na hii nayo ni ya kuianzishia thredi!! Ivi watato wako watakua bright darasani kweli!
 
Duh! Wabongo kwa kashifa mko vizuri! Kwa hiyo mtu akijiita sukari yenu ni shoga? Mbona mnakua too judgemental ilihali wengi wenu mnafanya hayo mambo ya kishoga kuliko hilo la kulala mtupu.

Mnajua maana ya sukari yenu? Na kwa nini niliitwa hivyo?

After all naishi peke yangu, kuna ubaya gani mi kulala ninavyojisikia? Hata ukivaa jeans popobawa akitaka kukupitia atapita tu. Huna cha kumzuia wewe. Mnahitaji maombi sio bure na inavyoonekana wengi wenu humu mnashiriki kale kamchezo ka sodoma.

Anyway, thanks all for your comments. I have learned something.

Sukari Yenu
 
Back
Top Bottom