Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

Kuna baadhi ya maeneo ya nchi fulani ingekuwa inawezekana ningewashauri wauzie hata nchi jirani wagawane fedha

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Nchi nilipo sasa hivi kweli Ni kubwa lakini watu waishio huku wanapata tabu maji shida, barabara taabu, Afya shida, umeme ndo kabisa ukiwauliza habari ya matumizi ya gesi ya kupikia hawaelewi kabisaa.

Jamani kuna maeneo bado loh! Picha nimekatazwa kupiga.
 
Wananchi wa hiyo nchi ndiyo wazembe boss, dunia ya sasa hivi ni kijiji,
wao wanafail wapi???
 
Taja tuinunue mkuu,viongozi wa hiyo nchi inaonekana ni wazembe sana kwasababu hapa Tz,Mamaangu kule kijijini almost kilomita mia kutoka makao makuu ya wilayani kwetu(can you imagine the distance)anatumia gesi kupikia na umeme upo tangu mwaka 2010.

Ukitaja hyo nchi tutaenda kulitazama na hill pia
 
Back
Top Bottom