Kuna baadhi ya members wakichangia tu uzi wako unabuma sijui wana nyota gani?!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe ya Baba swalehe nilimwambia Jose mwanzo kama ni utani sitaki mana mkishindwa badae mnajifanya mlitania
Ngoja tusubiri
 
ndo maana ukaamua na huu uzi wako kuususa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinikumbushe ya Baba swalehe nilimwambia Jose mwanzo kama ni utani sitaki mana mkishindwa badae mnajifanya mlitania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ivi jose hajaja kumbe
 
Hivi comment na likes zinakufaidisha vipi wewe mleta mada? Mambo ya likes waachie Facebook
 
Back
Top Bottom